She is beautiful, highly educated and paid but lonely! Why?

Well said Mkuu! We have witnessed married couples going thru hell! Why the world has concluded it's only women who are in need (marriage) than men !?
Exactly. I don't understand why I had to use so much energy to explain that there are horrible marriages out there. These men are just misogynists.
These men seem more desperate about marriage than these women.
 
Sasa we ndo umeharibu kabisa. umemwambia nini huyu mwingereza?
Ha ha ha. Tobaaaa! Bebi ake, twende basi PM nikuanzishie twisheni la lugha ya Malkia Elizabeti. Maana mwenzio Alhamdulillah, ungenge unapanda ;)
 
Ha ha ha. Tobaaaa! Bebi ake, twende basi PM nikuanzishie twisheni la lugha ya Malkia Elizabeti. Maana mwenzio Alhamdulillah, ungenge unapanda ;)
Waow!!... Nakuja fasta Mrs ake..

Nakuja without kabisa ili nisipoteze muda...
 
Being alone doesn't always mean that someone is lonely. Some people are single and still very happy. Let's not forget the fact that " marriage is a calling ", not something for everyone. We can't all get married and not everyone who wants marriage will eventually get married. And we can't ignore the fact that, there is more to life than marriage. We all can't find happiness from a single source "marriage". God has and is still giving us lots of blessings and beautiful things to be happy and grateful for. Being unmarried isn't the end of life neither the beginning of a miserable life.

We have been crucifying the so called successful career women for so long. Let's forget about their attitudes and personalities... how many men in here are ready to stand next to successful women? I can't say you guys are intimidated with successful women, but most of you prefer to date the less successful ones, why??... I don't know myself. Not everyone of you has dated these women, but you can here our dear men saying " I can't date/ marry a more successful woman than I am", so what's their fault here?

Being arrogant, selective, argumentative, fault finder, too demanding etc, has nothing to do with someone's career level. There are some people with no career at all or possibly with less career success, but I bet.. They are huge pains in the as××. "Ugliness from inside doesn't discriminate career success". Sometimes the way we perceive these women is far from their reality. Instead of judging their actions basing on their success, let's remember that there are not perfect just like us. So if a successful woman portrays some bad behavior/attitude, it's not because of her success, that's really her attitude from inside"

If a woman can't keep a man, let's agree its because of her personal bad characters /attitude/choices , and not because of her career.. (even though there are some men who can't be kept even if they date Angels). Again if a person is single, and wish to have a healthy relationship then marriage, but still she can't change her bad ways/ attitude to retain a relationship, then that's her own headache. But if you have set your standards that can't be compromised, then my girl please don't lower yourself, your man will find you right there, (unless you have set the "unnecessary not my type" standards, please reconsider your standards). There are lots Of successful women out there with " wife materials" traits.Not all of them are as bad as we paint them.
(Excuse my English though lol)
Hivi kwanini wanawake wakiambiwa ukweli huu hua wanaukataa. Wapo wanawake wakipata elimu na kazi nzuri wanaona mwanaume si kitu wala si chochote matokeo yake wanakosa wanaume wazuri wakuwaoa. Wapo wazazi wanawaambia mabiti zao kwamba elimu ndio mume au kazi ndio mume kweli binti kama huyu aliyefundishwa kuwa mume ni mali au kitu atathamini mume huyo, mwingine amelelewa akiambiwa kwamba mwanaume ni mnyanyasaji soma kwa bidii usije ukanyanyaswa akifanikiwa unafikiri ataona mume ni wamaana kwake. Elimu bira hekima ni kazi bure hakuna mwanamke hata mmoja asiyependa ndoa ila kwakua hana hekima ya kuipata ndoa hutoa visingizio vya uongo kama ulivyotaja hapo juu. Inaniumiza sana kuona mwanamke kasoma ana kazi nzuri lakini anatumika tu kama chombo cha starehe cha wanaume, wakati mwingine naona elimu haina maana kwao. ELIMU BILA HEKIMA NI UJINGA
 
MERCIFUL has an uncle who is 50 and is not married, nor does he have any children (none that she knows of). Two of her colleagues are above 35, more or less on the same boat as her uncle. All am saying is ..."nabadili lugha kwa ajili ya Asprin , Maisha siku hizi yamebadilika sana. Si wanawake tu, mahusiano ni kati ya wanawake na wanaume- mwanamke alieachika, aliachana na mwanamume!! Maumivu ya moyo yamekuwa mengi sana, watu wamegundua furaha haipatikani kwa kuwa kwenye ndoa tu!
 
Maneno ya mkosaji hayo hakuna mwanamke asiyependa kuwa na mume wake na watoto, ila kwasababu wanawake wengi wakipata elimu wanapungukiwa na hekima mwisho wasiku wanakosa ndoa na wanabakia vyombo vya starehe vya wanaume
Mimi sitaki watoto. Not under any circumstances will I have children. Kuna uwezekano mkubwa sitozaa kabisa.

It would be nice to have a partner. But I won't stuck myself in an unhappy relationship just for fear of being single.

Wangeweza kuolewa na yeyote yule toka wakiwa vijana. Hakuna kitu kama "kukosa ndoa". Unajipa moyo tu

Na wewe kuwaita vyombo vya starehe ni njia ya kuwa provoke tu na kujipa moyo. Women enjoy sex too. Basi Wanaume ni vyombo vyetu vya starehe. Na
uliambiwa wao ndo walikuwa wanaachwa kila siku? Si mleta Mada kasema walikuwa wanachagua chagua?

Hata muwatukane vipi, ukweli ni kuwa wamechagua maisha yao. Achaneni nayo.
 
MERCIFUL has an uncle who is 50 and is not married, nor does he have any children (none that she knows of). Two of her colleagues are above 35, more or less on the same boat as her uncle. All am saying is ..."nabadili lugha kwa ajili ya Asprin , Maisha siku hizi yamebadilika sana. Si wanawake tu, mahusiano ni kati ya wanawake na wanaume- mwanamke alieachika, aliachana na mwanamume!! Maumivu ya moyo yamekuwa mengi sana, watu wamegundua furaha haipatikani kwa kuwa kwenye ndoa tu!
Masingle father hawaongelewagi humu.

Wanaume walioachika hawaongelewagi humu.

Wanaume ambao hawajahi kuoa hawaongelewagi humu.

Watakuwa hawapo.
 
Masingle father hawaongelewagi humu.

Wanaume walioachika hawaongelewagi humu.

Wanaume ambao hawajahi kuoa hawaongelewagi humu.

Watakuwa hawapo.
They refuse to look at both sides of the coin! Tukichambua swala, tulichambua haswa kwa mapana na marefu. For me the topic should be "why are there a lot of single parents, divorced couples etc..." Maana siku hizi ma-single fathers nao wapo.
 
Suffering is there even if someone is in marriage by for single mom it's most suffering
 
They refuse to look at both sides of the coin! Tukichambua swala, tulichambua haswa kwa mapana na marefu. For me the topic should be "why are there a lot of single parents, divorced couples etc..." Maana siku hizi ma-single fathers nao wapo.
Exactly. That would be a reasonable and fair way to talk about these things.

Otherwise it just seems like a bunch of unhappy people venting out their frustrations on these women, sexist misogynistic people.
 
It seem to me that you were So miserable being single that you married out of loneliness. WHO IS THE DESPERATE ONE HERE?

As I said you need to get a life. There's so much to life from romance. You CAN be happily single.

THESE WOMEN ARE NOT AS DESPERATE AS YOU ARE. OTHERWISE THEY WOULD HAVE MARRIED OUT OF DESPERATION LIKE YOU. LET THEM BE.

Well sorry but the world doesn't go around your emotions. women get their lives back after living their abusive husbands. Go ask one if they wish to get back to their husbands.

An unhappy marriage could be fixed. Unfortunately not all work out. People grow apart. People turn abusive. Infidelity completely changes the lives of the cheated. Some just WON'T WORK.

No psychologist will tell you stay no matter what. Those are things you'll hear in church. Misogynists!

When a Marriage can't be fixed, it's never good for anyone. And no you can never hide it. I was affected in so many ways. UNLESS YOU'VE COMPREHENSION PROBLEMS, I don't see how my mum's story supports anything you said. I will never stay in an unfixable rship for kids. I still want my mum to get married again. Bado analipa.

Society society status in society is all you think of. You don't care about the women's mental, physical or emotional health. It doesn't get any more MISOGYNISTIC than this. Eti after abuse the society will be there for her. Sorry, are you MENTALLY FIT???

fortunately, the people themselves are the ones who decide society values. Thanks HADES we ain't in they dark ages. Women will NOT put up with abuse. We will decide whether we want to get married, stay married, or not get married at all, and no JF posts and insults will decide for us

Plus,, our society is full of sexist misogynistic men like you that's why educated women don't get married.
Pole dada naona unatoa povu kweli, swala nikwamba ni kwanini tatizo hili linatokea kwa wanawake waliosoma na wenye kipato kikubwa tu,? inamaana hao pekee ndio waliogundua kwamba ndoa zina matatizo. Mimi naamini mtu akipata elimu humsaidia kiuchumi, kiafya na kijamii na hatimaye huheshimika katika jamii. Mwanamke aliyepata elimu tunategemea awe kiyoo cha jamii tuweze hata kuwatolea mifano kwa mabinti zetu, ila kama mwanamke kapata elimu kazi nzuri na huku ana watoto kila mtoto baba yake, na huku wakitumika kama vyombo vya starehe vya wanaume, hii elimu yao inatupa mashaka, na ukombozi wa mwanamke hatutaufikia.
 
Usituharibie hewa hapa.

Toka tumetoka page one hakuna aliyoongelea habari za kutokwa povu. Povu unalitoa wewe uliye na tatizo na hawa wanawake. KAMA HAWATAKI KUOLEWA UNAWASHWA NINI?

Heaven Sent ameshasema huko juu sio wanawake wasomi tu wenye matatizo.

Otherwise, Dunia inabadilika, wanawake wana uhuru kuliko zamani. Waliokaa kwenye ndoa sio Hawajui hazina matatizo, wengine hawana jinsi. Wengine maisha yao ni kuvumilia mateso na kunyimwa uhuru.

Mtu anateswa hawezi kutoka kuogopa maneno ya watu, dini na kufikiri anawasaidia watoto.

Mtu aliyeenda shule si rahisi kumpelekesha kama wanaume WENYE INFERIORTY COMPLEX wanavyotaka. Wanawake wangapi hawana usemi wowote, hata pesa ikiwa yake?

Wa kisasa wanataka kushauriana na uhuru wa maamuzi. Only REAL MEN can have them, sio nyie mnaotaka kuinamiwa.

WAACHENI.
 
Hivi kwanini wanawake wakiambiwa ukweli huu hua wanaukataa. Wapo wanawake wakipata elimu na kazi nzuri wanaona mwanaume si kitu wala si chochote matokeo yake wanakosa wanaume wazuri wakuwaoa. Wapo wazazi wanawaambia mabiti zao kwamba elimu ndio mume au kazi ndio mume kweli binti kama huyu aliyefundishwa kuwa mume ni mali au kitu atathamini mume huyo, mwingine amelelewa akiambiwa kwamba mwanaume ni mnyanyasaji soma kwa bidii usije ukanyanyaswa akifanikiwa unafikiri ataona mume ni wamaana kwake. Elimu bira hekima ni kazi bure hakuna mwanamke hata mmoja asiyependa ndoa ila kwakua hana hekima ya kuipata ndoa hutoa visingizio vya uongo kama ulivyotaja hapo juu. Inaniumiza sana kuona mwanamke kasoma ana kazi nzuri lakini anatumika tu kama chombo cha starehe cha wanaume, wakati mwingine naona elimu haina maana kwao. ELIMU BILA HEKIMA NI UJINGA
Hivi kuna shule/ chuo kinachofundisha mtu asiwe na heshima, mjeuri, awe na tabia mbovu, asiheshimu wenzake etc? Tufute tu hizo shule ili watoto wetu wabaki home wajue kubehave. Na je hakuna wanawake with bad behaviors na wakati waliishia la 3C na hawana success za kihivyo?

Nilichokiongea ni kwamba "Ugliness from inside doesn't discriminate". Tabia haiangalii elimu wala miaka. Ukiona mtu kaenda shule afu tabia zake hazipendezi, don't blame her education level...ni tabia zake mbaya tu na lack of maturity period.. Yani from nowhere una masters sijui PHD eti unaanza kuangalia watu kwa dharau, hiyo ni tabia yako ulikuwa nayo tangu zamani. Sasa kupata na hiyo elimu ndo unaona umepata na fimbo mpya ya kuwachapia wale wa chini yako. Ulimbukeni haunaga sababu.

kuna ule msemo pata pesa tujue tabia yako. Kuna watu wakiwa hawana hela wanakuwa wastaarabu, wana heshima hao hadi basi. Siku akipata tu pesa " zile tabia zake za ndani" ndo zinaanza kujionesha sasa. Mtu wa hivi sio kwamba pesa imembadilisha, ni kwamba amekuwa "original". Ni sawa tu na mtu kuwa na successful career. Kuna watu wana mafanikio mno lakini wapo humble, huwasikii wakijishaua hata. Na kuna wenzangu na mie, apeche alolo ila mashauzi, ujeuri, hizo standards zetu unakufa na roho yako. Mwisho wa siku elimu si mbaya, ila tabia za watu binafsi ndo mbaya
 
mwengeso should see this. He was so miserable when single he can't cannot think beyond marriage.

People who talk of marriage as the ultimate life experience are sad people. They always dreamed of marriage, had sad single lives, probably got difficulties getting married so it's their greatest goal.

THERE IS MORE TO LIFE THAN MARRIAGE. And an unhappy marriage isn't even marriage it's just a status to the mentally captivated.
housegirl: which of these group of women you stand for:
1) Unmarried throughout their lives because of various reason but claim they have their own lives to take care of!!!
2) Divorced women who found marriage a hard nut to crack!
3) Single mothers by choice or not!
4) The women that have been the subject of this dicussions (the sophiscated)!

Whatever your choice, God did create a double to compliment each other to fulfil desired human beings egos.

housegirl: I believe you live a desperate life - deduced from your contributions. A piece of advice - go back into marriage before you are at that old age where a partner is inevitable. "FAINALI UZEENI"
 
Either these men have never lived in bongo. Or they've never witnessed domestic violence, or they're just a bunch of misogynists who think women will be mistreated by men and there's nothing they can do about it but bow their heads and pray

Or they could just be male chauvinist pigs.

No one [male or female] should have to suffer physical or emotional abuse in a relationship.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom