She is attracted to a co-worker.. mgogoro na jamaa

Hahaha @ Manchester ya Tandale

Kwa hiyo Boss unadhani mtoto wa kike anaeambiwa afanye kazi za kike ndo kuwa anakumbana na "put down" nyingi?

EXACTLY....
chukulia huyo binti ana interest za kuwa refa wa football hapo baadae...
but akienda mpirani anaambiwa 'nenda jikoni'....au labda anataka kufanya
bussiness inayo relate na football....umeona????
 
Jamani mbona wapo hata wanaume wanawaambia wapenzi wao kuwa kuna mdada ofisini namuadmire sana,yaan shez ol that an bla bla bla,kila cku haish kumtamka,tatizo utandawizi ume2jaa 2najidai 2naish kizungu.kwamba 2ko open kuna vi2 vingine vinakera eti,2ish maisha ye2 yakitz 2 ni mazur sana kuliko kuiga maki2 ya ajabu
 
Ni kisa cha weekend kwa kweli; jamaa yangu mmoja kaja juu dhidi ya mke wake kwa sababu mkewe ka-admit kwake kuwa ni kweli yuko attracted to a co-worker japo huyo co-coworker hajajua kabisa kinachoendelea. Mke kaadmit akiaini kuwa ni bora kusema mapema kabla mambo hayajaenda pabaya. Sasa kumwambia jamaa jamaa kaja juu na maswali lukuki akijihoji kuwa labda yeye ndiye sababu au kuna vitu hafanyi japo mwanamke anasema kabisa wala haihusiani na yeye (mume) ni kitu ambacho hata mwanamke hakielewi kwanini yuko attracted na huyo mtu mwingine - tumuite John.

Sasa, shemeji yetu hamwelezi mshikaji kwa sababu anasema kama angekuwa na nia mbaya asingemwambia (jamaa anasema labda amesema ili kuhalalisha). Lakini she swears hajafanya lolote lakini alikuwa anajihisi kama amecheat maana yuko comfortable sana na huyo John na ana enjoy sana company yake. Hajui kama anampenda au anamtamani

Mshikaji anaamini yuko sahihi kukasirika na sasa hivi amekuwa more than insecure kwani shemeji yetu kwa kweli wamo. Imeanza kuleta mgogoro usio wa lazima...

Kweli kuwa attracted bila kufanyia kazi ni kucheat na je kuna hekima kumwambia mwenzio majaribu unayoyapata huko kazini na usipomwambia yakafikia pabaya nani wa kulaumiwa?

Sikujua kuwa huu msemo wa mshikaji upo mpaka kijijini siku hizi na unatumiwa mpaka na wazee. Mimi mtu akiniita mshikaji huwa lazima tukorofishane tu. Back to the topic.

Mimi naona huyo Mshikaji wako alikosea kukasirika haraka haraka. Hii imekosesha fursa adimu ya kupata taarifa zaidi kuhusu suala zima. Angevumilia kidogo ingemsaidia kupata taarifa zaidi. Kwa sasa huyo mama hawezi tena kueleza kwa undani mazingira ya yeye kuvutiwa na jamaa mwingine huko ofisini kwao. Najua ni vigumu kujizuia kukasirika lakini kuna wakati ni muhimu kufanya hivyo kimkakati ili upate taarifa zaidi za kiintelijensia. Pia "with experience" ni jambo linalowezekana kabisa - na hii ndiyo huwa tunaita busara. Logic ni ndogo tu hapa kukasirika haikubadilisha ukweli kuwa mtani wa jadi kavutiwa na mtu mwingine sana sana kutamfanya aende underground na hutapata tena taarifa nyingine kuhusu suala hilo.
 
Jamani mbona wapo hata wanaume wanawaambia wapenzi wao kuwa kuna mdada ofisini namuadmire sana,yaan shez ol that an bla bla bla,kila cku haish kumtamka,tatizo utandawizi ume2jaa 2najidai 2naish kizungu.kwamba 2ko open kuna vi2 vingine vinakera eti,2ish maisha ye2 yakitz 2 ni mazur sana kuliko kuiga maki2 ya ajabu

Mimi simo katika hao wanaume unaowasema hapo juu.
 
Mie ODM nilivyo na mawivu ya kijinga, nisingeweza kuvumilia upuuzi kama huo. Yaani unambieje? Kulaaaleki wallah!

Mi nikiona mai waifu anapiga shingo kumwangalia mwanaume kiroho kinaniuma, sembuse kuambiwa?

Nyie kina mama nyie hebu acheni kutuua na mapresha bana.
 
EXACTLY....
chukulia huyo binti ana interest za kuwa refa wa football hapo baadae...
but akienda mpirani anaambiwa 'nenda jikoni'....au labda anataka kufanya
bussiness inayo relate na football....umeona????

Mimi nadhani kumlea msichana Kama msichana anaejua majukumu yake kama msichana(baadae mwanamke) kwenye jamii ni muhimu mno. Na kumlea hivyo hakuna maana kuwa unam put down.

Muhimu apewe na nafasi ya kufanya mengine anayoyapenda kwa wakati wake
 
tatizo ni 'how to walk that line....' ya kuhakikisha anayajua majukumu yake kama msichana..
na wakati huo huo ajione ana uwezo wa kufanikiwa regardless ya jinsia yake
 
mambo mengine ya kumezea huyo ana walakini hizo nguvu za kumwambia alitoa wapi?
 
tatizo ni 'how to walk that line....' ya kuhakikisha anayajua majukumu yake kama msichana..
na wakati huo huo ajione ana uwezo wa kufanikiwa regardless ya jinsia yake

Unataka kunambia my mom did such a good job? Mie nilijua ni normal tu. Maana kwa jiko hapa usinchezee; pilau langu la pweza kuliko la hoteli :p
 
Inategemea wamezoeshana vipi, bibi na bwana!!, isije ikawa ndio kawaida yao, sasa mama kasema hivyo ndio imezua kali.

Mimi nasema hivi kwa sababu, nina rafiki yangu, yeye hulazimisha kabisaa mkewe akitongozwa aambiwe na asipo ambiwa akijua kutoka kwa watu, vitaa eti ohhh afadhali aniambie bwana, sisi hatufichani siri !!!, afadhali nijue kutoka kwake kuliko natembea na watu wananichekelea!!!!
 
Hii kitu inanigusa kabisa maana mimi nilikwishawahi kuambiwa hivyo ila nami nikaamua kuwa karibu na rafiki yake na aliponiuliza nikamwambia kuwa najisikia kumpenda rafiki yake kama yeye alivyokuwa anajisikia,toka wakati huo sijasikia akiongelea tena na urafiki na shoga yake umepungua sana.
Hili suala linaumiza sana na mara nyingi mapaka mtu anafikia kukwambia basi ujue tayari either amekwishafanya na anakupa ujumbe tu au amefikia mahali anataka kufanya hivyo anatafuta uhalali wa nini utakisema kwake ili akamilishe tukio.
Katika mapenzi ni vigumu sana kumfikiria mwanamke mwingine wakati una mke au kumfikiria mwanaume mwingine wakati una mume,ukiona hali hiyo basi ujue mapenzi yamepungua au hayapo kabisa kwa mwenzi
wako.
 
Unataka kunambia my mom did such a good job? Mie nilijua ni normal tu. Maana kwa jiko hapa usinchezee; pilau langu la pweza kuliko la hoteli :p

Ni ngumu kusema....hilo pilau la pweza acha tu lol....
but if its true...labda alifanikiwa....but why only your mom????
labda majirani,baba,kaka,shule......na kadhalika au pengine
kuishi 'manchester' ndio ilisaidia lol
 
Dada, kaka, shule na majirani wanachangia kwa kiasi chao, ila ulezi wa mtoto yoyote mama ndo msingi nadhani.

Btw, niishi 'Manchester' niringe! Labda hiyo ya Tandale! :]
 
Jamani mbona wapo hata wanaume wanawaambia wapenzi wao kuwa kuna mdada ofisini namuadmire sana,yaan shez ol that an bla bla bla,kila cku haish kumtamka,tatizo utandawizi ume2jaa 2najidai 2naish kizungu.kwamba 2ko open kuna vi2 vingine vinakera eti,2ish maisha ye2 yakitz 2 ni mazur sana kuliko kuiga maki2 ya ajabu

Muogope sana mwanaume wa hivyo; mie nachukulia kidume ukiwa natabia hii unaelekea kwenye ushoga...............huwezi anza mwaga misifa ya jinsia tofauti au hata ya jinsia yako kwa mpenzi wako; so what?
 
Dada, kaka, shule na majirani wanachangia kwa kiasi chao, ila ulezi wa mtoto yoyote mama ndo msingi nadhani.

Btw, niishi 'Manchester' niringe! Labda hiyo ya Tandale! :]

basi kumbe 'manchester' yetu ya tandale imeweza aisee lol
Umekuwa mkubwa bila kuathirika na downers...lol
tandale oyee.....lol
 
Baadh wanawaambia wake zao wa ndoa'unajua halima ni mwanamke haswa,yaan ni mwanamke shupav acha,mpiganaji huyo yaan i lov her,yaan shez such a woman an makumcf kila cku'angalia anavyozungumza ni ile kwa feelingz mpaka m2 unajiuliza hawa ni co-workerz au mengine?,na ni marafiki wa karibu sana saaana
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom