Shaving...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Unatumia nn?

1- Shave cream

2-Blade

3-Shave machine

4-Waxing

5-Unafuga...
 
shaving where.....? coz kila mahali kuna utaratibu wake.....
 
shaving where.....? coz kila mahali kuna utaratibu wake.....

fafanua bac utaje kila mahali na utaratibu unaotumia....

kwa mfano: makwapani unatumia nini?
miguuni unatumia nini?
chupini unatumia nini?
 
Aiseeee baba yangu mi naona giza huku kwetu huwa tunazinyonyoa bila kupaka chochote
 
fafanua bac utaje kila mahali na utaratibu unaotumia....

kwa mfano: makwapani unatumia nini?
miguuni unatumia nini?
chupini unatumia nini?

kyupini maroufouk kugusa....kwapa kuna dread.....miguuni sijaotwa na nywele.....love garden my baby huwa ananyonyoa moja moja zilizozidi.....
need I say more.....senor..!!
 
mbona wengine umetubagua? mimi natumia kwanja!

Bora wewe umeona tena ukiwa mkaka ndiyo kabsaa! Huyu mjamaa mara nyingi hupenda comment na warembo, na hapa warembo wamejaa anaselect tu a'deal na yupi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom