sharobaro

niwaellyester1

Senior Member
Sep 7, 2010
123
19
sharobaro mmoja alikufa kizembe huko gongo la mboto , wakati mabomu yanalipuka aliambiwa lala chini, "nitachafuka men" mtu wa pili akamwambia panda lori tuondoke , "nasubiri tax men" mtu wa tatu akamwambia zima cm utapigwa na shoti , "naongea na baby men" ,sekunde c nyingi bomu likalipuka pale pale alipo , bac hata kifungo cha shati hakikuonekana , ....masikini sharobaro amekufa kizembe sana....
 
Postini vitu vya kujenga taifa bana. siunajua sasa hivi kuna mchakato wa katiba mpya maoni yenu yakoje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom