Sharo MILIONEA apata AJALI

Du pole sana men uskonde utapona men vp shilole kakupia cm ya pole men pole sana men
mkuu huyu hana mahusiano na shilole labda mulize mlela huko ...........this man is mine plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz msiniumize roho bure hapa
 
KWANINI MALORI YASIPIGWE MARUFUKU KUSAFIRI MCHANA, YASAFIRI USIKU TU? Zaidi ya 90% za ajali zinasabishwa na Malori. Serikali Sikilizeni kilio cha wananchi.
 
Muundo wa aina hii wa bus hili unajulikana vipi kitaalamu? na una faida na hasara gani?

Muundo huu kitaalamu siujui ila sema huu mwanguko/mpinduko kitaalamu unaitwa kifo cha mende.

Pole meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen, ungekodi bodha bodha :shock:
 
poleni sana wote,ndie huyu alikuwa kny movie ya chumo na jokate mwegelo?
 
kaumia mai love wangu jamani na hapa ndio tulikua tunamuaga ili afanye iyo safari yake jamani loh! mie huyo niliyekumbatiwa hapo ........uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii i love uuuuuuuuuuuuuuuu
View attachment 44767

asante kuni laikia sharo wangu ................vp mkuu una contact zake unipe nimsomeshe mistar inaweza kua bahati yangu who knowz

we Aminata acha kutuzuga mtu hadi mmekumbatiana huna contact zake?
 
Back
Top Bottom