Sharo MILIONEA apata AJALI

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
[h=2] Sharo MILIONEA apata AJALI[/h] Posted: 5th January 2012 by MillardAyo in Uncategorized
3
Sharo Milionea

Msanii/Muigizaji/Mchekeshaji SHARO MILIONEA amepata ajali mbaya ya bus leo saa mbili na nusu Asubuh Mikese, Morogoro.
bus hilo la TAQWA likitokea BURUNDI kuja DAR ES SALAAM, limepinduka mara kadhaa wakati likilikwepa lori lililokua linajaribu kulipita lori jingine bila, yani lilikua linaOVERTAKE bila kujua kulikua na bus linakuja.
Sharo MILIONEA alikua amekaa kwenye siti ya mbele kabisa kwa hiyo aliiona ajali yote, japo anasema hana uhakika kama kuna yoyote amepoteza maisha, abiria wengi wameumia vichwani, miguuni na mikononi, majeraha ambayo wameyapata kutokana na vioo kupasuka na misuguano mingine wakati gari linapinduka.
baada ya ajali, imebidi abiria wengine waishie Morogoro kwa ajili ya kupata matibabu, lakini SHARO MILIONEA na wengine, wameendelea na safari na sasa wako njiani wanakuja DAR ES SALAAM, ambapo abiria wengi wamepoteza mizigo, na Sharo kapoteza simu tu.
kwa sasa Sharo anaendelea vizuri japo sio sana kwa sababu anasikia maumivu mwilini, na akifika DAR atakwenda Hospitali kuchek.
download (22).jpg
 
Du pole sana men uskonde utapona men vp shilole kakupia cm ya pole men pole sana men
 
Ngoia nikae mbele niwai shoo men.si unajua yaani oooh mama.ajali hainakinga rudi tanga kapumue men au kama vipi parisi.kwaiyo men plasta umebandika ileile au zimeongezeka.pole sana baab.pole baab.
 
Ngoia nikae mbele niwai shoo men.si unajua yaani oooh mama.ajali hainakinga rudi tanga kapumue men au kama vipi parisi.kwaiyo men plasta umebandika ileile au zimeongezeka.pole sana baab.pole baab.
 
Duh kumbe ni basi zima (including other abiria) nilidhani alilikodisha hilo basi peke yake!!!! Haya poleni wote
 
Duh kumbe ni basi zima (including other abiria) nilidhani alilikodisha hilo basi peke yake!!!! Haya poleni wote
kaumia mai love wangu jamani na hapa ndio tulikua tunamuaga ili afanye iyo safari yake jamani loh! mie huyo niliyekumbatiwa hapo ........uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii i love uuuuuuuuuuuuuuuu
index6.jpg
 
Ngoia nikae mbele niwai shoo men.si unajua yaani oooh mama.ajali hainakinga rudi tanga kapumue men au kama vipi parisi.kwaiyo men plasta umebandika ileile au zimeongezeka.pole sana baab.pole baab.
hua anabadilishaga kila siku ww vipi..............
 
I like this Sharo Milionea guy.

Ila hizi ajali hizi....haya ngoja nibaki nayo moyoni tu yale nnayotaka kusema!
 
Majeruhi wote nawapa pole Mungu akapate kuwaponya warudi kwenye harakati zakuikomboa nchi yetu
 
I like this Sharo Milionea guy.

Ila hizi ajali hizi....haya ngoja nibaki nayo moyoni tu yale nnayotaka kusema!
asante kuni laikia sharo wangu ................vp mkuu una contact zake unipe nimsomeshe mistar inaweza kua bahati yangu who knowz
 
Back
Top Bottom