share speed ya internet yako hapa

Download Speed
65. 86 Mbps

Upload Speed
29.98 Mbps

Take that @ Kiranga

From: Speedtest.net @ 15:03

72a4390a-2769-9117.jpg
 
[FONT=Arial,Helvetica]Your line speed:[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica]4080 [/FONT][FONT=Arial,Helvetica]Kbps[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica]500 [/FONT][FONT=Arial,Helvetica]K bytes/sec

yangu hiyo
[/FONT]
 
Mmm wabeba boksi hapo mmenifanya nikafungue makabrasha kusaka kwa nini mfikiri 30Mbps ni "as fast as light," au "nikujiongezea gharama kama huitumii to full capacity" :[

Ila sasa nimeelewa, sishangai

72a4390a-243d-bf1e.jpg
 
wanauza kiasi gani hii!! mi kuna kifaa nataka nije nacho bongo nimuwekee bimkubwa home but kinahitaji speed ya 2M au zaidi...

Anakaa eneo gan? Kama yupo dar labda utafute isp wanaotoa cable internet maana hii mitandao haiaminiki mara speed imepanda mara imeshuka
 
wanauza kiasi gani hii!! mi kuna kifaa nataka nije nacho bongo nimuwekee bimkubwa home but kinahitaji speed ya 2M au zaidi...

TTCL wako expensive sana mfano mie nanunua 20GB kwa laki mbili mkuu ila unaweza kupata 4GB kwa elfu 60 pia au unlimited kwa elfu 30 ambayo speed ina discourage sana mkuu.
 
TTCL wako expensive sana mfano mie nanunua 20GB kwa laki mbili mkuu ila unaweza kupata 4GB kwa elfu 60 pia au unlimited kwa elfu 30 ambayo speed ina discourage sana mkuu.

sasa unanishauri vipi mkuu provider gani wazuri na bei sio kali vilee mi nahitaji speed ya 2M ikizidi sio mbaya ila sio chini ya hapo

Anakaa eneo gan? Kama yupo dar labda utafute isp wanaotoa cable internet maana hii mitandao haiaminiki mara speed imepanda mara imeshuka

Upanga Dar ... nipe mfano ISP gani nijaribu kuwatafuta
 
sasa unanishauri vipi mkuu provider gani wazuri na bei sio kali vilee mi nahitaji speed ya 2M ikizidi sio mbaya ila sio chini ya hapo

Upanga Dar ... nipe mfano ISP gani nijaribu kuwatafuta

Mkuu ngoja tufuatilie kwa ukaribu hawa ISP. Pia unaweza jaribu kuwatafuta Spider Sat ukacheck Prices zao ama Avionics
 
Hili dude longo longo coz nimejaribu mara ya kwa then nilipo jaribu tena muda ule ule imechange kinyume cha maumbile!!!
hapa natumia Tigo ebu check different

test1.JPG

test2.JPG
 
hio ni kwa ajili ya browser ya simu tu ten zisizosuport java script nyie munai overdose na pc zenu.

Kwa pc speedtest.net
 
Back
Top Bottom