Shangingi La Serikali "Overtime"

Huenda ni kweli, lakini pia tujiulize hali halisi, dereva analipwa mshahara 100,000 kwa mwezi, na kakabidhiwa gari la milioni 200.

Niliwahi shuhudia mwingine akipiga debe 'live', magome 100, mwenge 200, akasanya abiria wake ambapo nami nilikuwa mmojawapo wa abiria. Mle ndani akawa sincere kabisa kwamba jamani sasa mi nifanyeje, gari kuuubwa, lakini hata 100 mfukoni sina.

Well, sishabikii kwamba wafanye uharifu, lakini malipo ya watu kama hawa wanaopewa dhamana ya vitu vya mamilioni inabdi yasiwe ya kusuasua namna hii ili pia kusaidia kuwaepusha na vishawishi kama hivi.
...Bora angeliuza hilo shangingi wasingemfanya lolote zaidi ya kumfukuza kazi....
 
Back
Top Bottom