Shangaeni kichekesho hiki cha magamba!

Chaimaharage

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
211
78
Mwalimu amewafuma na kibuti/madesa/nondo kwenye mtihani, sasa wanahangaika kukimeza ili kupoteza ushahidi. Yamewafika shingoni, sisi wananchi ambao ndio wasimamizi wa mtihani tumewaona vizuri sana. Jumatatu inatakiwa ieleweke either wanabaki shuleni au wafutiwe matokeo ili wapewe nafasi ya kuendelea na shule hadi mtihani mwingine.

Hivyo basi taarifa tulizonano ni kwamba wako wanafanya njama za kuahirisha bunge ili hata zile siku walizo omba kuongezewa bila malipo kumaliza kazi zisiwepo. Kwa hiyo tunawauliza hivi mbona mambo yako hadharani? tumewakamata na madesa kwenye mtihani hamna namna ya kukwepa adhabu. Toeni ushirikiano kwa kutupatia sahihi zenu ili adhabu yenu ipungue muendelee na shule. Msipo angalia hata hiyo shule mtaikosa.
 
Mnyonge mnyongen haki yake mpeni,walizoea kutudhurumu watz wenzao sasa haki itatendeka tu hata kama itachelewa.
 
Back
Top Bottom