Shamsi nahodha amezaliwa upya?au 2015?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Baada ya kauli ya Vyama vya siasa sio chochote sio lolote mbele ya Tanzania huko Igunga.

Namkumbuka Shamsi Vuai Nahodha aliekuwa waziri kiongozi wa SMZ ,mwanachama mkereketwa wa CCM kwa miaka 10.
Zanzibar ilkuwa na vurugu, machafuko . Yeye akiwa ndio mtendaji Mkuu wa Serekali ya CC
Makundi ya Janjaweed yakitembeza mkongoto kila kona,
mabomu ya kupangwa ambayo hata kuku hakufa.
Ukandamizaji wa Polisi kwa vyama vya siasa huko zanzibar vilishika kasi.
lkn sasa nasikia kauli safi za ndugu Nahodha aliekabidhiwa jeshi la usalama.
Jee kiongozi huu kazaliwa Upya au ni kwa ajili ya 2015?
 
Amekwenda igunga kuiongezea nguvu timu ya kampeni ya magamba kwa kisingizio cha kujihakikishia hali ya usalama.

Hali ya wanamagamba ni ngumu sana pamoja na kutumia makada wengti sana na viongozi mbalimbali wa serikali. Kila wanayedhani kwamba anaweza akawasaidia kuongeza kura japo moja tu wanamuita igunga.

Wassira na ester bulaya wameshindwa kwenda bunda kuwapa pole ama msaada wapiga kura wao waliokumbwa na maafa ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko. Wanathamini kampeni za chama kuliko maisha ya wapiga kura wao.
 
usiwe na mawazo ya 2015 tunasubiri jimbo lingine muda si mrefu kaka hiyo2015 mbali sana
 
Changes is innevitable, also we learn from what we did not what we intend to do.
 
Back
Top Bottom