Shamsa Mwangunga kuvaana na John Mnyika Ubungo

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Hii habari nimemegewa na mwana “Kamati Ushindi” ya Mwangunga. Naishia hapa kwanza ili wabishi waje.
 
Kwani Mzee Keenja amefulia tayari? Hatagombea?

Ndiyo, Umepatia
Kama unakumbuka vizuri hata 2005 ni miongoni mwa Wabunge ambao JK alikuwa amegoma kuwavusha kitanzi shingoni. Na hata alipokubali kuwanadi walizomewa jukwaani mbele ya JK.
 
Ndiyo, Umepatia
Kama unakumbuka vizuri hata 2005 ni miongoni mwa Wabunge ambao JK alikuwa amegoma kuwavusha kitanzi shingoni. Na hata alipokubali kuwanadi walizomewa jukwaani mbele ya JK.

Keenja ni miongoni mwa wabunge wengi wa CCM walioshindwa vibaya 2005 katika majimbo ya Dar, Msimamizi wa uchaguzi "mkurenzi wa municipal ya Kinondoni" Edgar Berege sijui kama bado anashikilia nafasi hii, ilibidi atumie mbinu zao za kupika matokeo ya kura, kumtangaza mshindi.

Sisi hapa tupige kelele tu, lakini bila kuwa na Tume huru ya uchaguzi CCM itaendelea kupanga matokeo ya kura kwa kadiri wanavyoona inafaa. Hutu tuviti wanatowaachia wapinzani ni janja ya kuwaonesha wahisani kuwa Tanzania kuna demokrasia.
 
Last edited:

Kilichomwangusha zaidi John Mnyika ni kutegemea mawakala kutoka UDSM. Kwa bahati mbaya kura zilipingwa baadhi ya Faculty wakiwa kwenye mitihani na hivyo Mawakala toka UDSM wengi hawakwenda vituoni na hivyo kutoa mwanya wa wazi kwa CCM na Keenja kuchezea matokeo watakavyo. Hii haimaanishi kuwa napunguza ukweli katika hoja yako ya Tume Huru bali naonyesha mwanya wa ziada.
 
- Keenja ameamua kutogombea tena baada ya kufulia na kukamulia jimbo, kwa hiyo hapo Ubungo kwa dataz nilizonazo tutegemee wana-JF wawili kujitosa, Mnyika anataka kuendelea na shule lakini kuna wanaomshinikiza kujitosa, atakumbana na another JF,

- Mwagunga, angetafuta pengine, hapa ni moto wa kuotea mbali, maana nimekuwa nikishiriki mwenyewe kwenye kampeni za one on one na prominent wa jimbo hili, katika kujaribu kumsaidia a JF member unajua hili jimbo ni exceptional maana lina wasomi wengi sana, huenda hata kuliko majimbo yote nchini.

My prayers ni wana-JF, kukutana uso kwa uso hapa, patakuwa patamu sana hasa hoja za masilahi ya taifa letu.

Respect.

FMEs!
 
Mkulu nikupe mji?!
Aghaaaa ebu niropoke; Mnauye
 
Mkulu nikupe mji?!
Aghaaaa ebu niropoke; Mnauye
Omutwale,waitu Shumalamu! La Nnape kugombea Ubungo hilo ni wazi siku nyingi linajulikana,Shamsa naona jimbo la Kongwa kaliona maji marefu maana Ndugai balaa na siasa bila shaka kanogewa nazo hivyo anahitaji jimbo,Mnyika ni wazi kwa umri wake atakuwa na ambitions kibao na ninasikia bongo yake inachemka(nasikia o-level alipata A kumi) na kwenye siasa ukiwa na bongo kali ni advantage because you think fast,diwani wa ubungo aitwaye Mringo naye anataka kujitosa kilingeni and indeed watch this guy kwa sababu amekuwa kwenye siasa za wilaya ya kinondoni muda mrefu na anamjua kila mtu,literally.Tusubiri si ajabu na wengine wakaja maana kabla Asha Migiro hajaenda UN ilisemekana naye alikuwa anajiandaa kupandisha bendera Ubungo,kunani Ubungo??????
 
Huyo bibie sijui kama atauzika jinsi wanavyokula wanyama pori na kukata miti , matumbawe kuwauzia wageni duuh hata ingekuwa Bumbuli bado ni kitendawili kigumu.Safari hii matokeo hayapangiki kabisa hata kama Tume ya uchaguzi itabandilisha miundo mbinu ya uuibaji wa kura,Hapa kazi ipo tuu.Kama watu wameishi Dar miaka 40 hawajui maji ya bomba ili hali mabomba makubwa yanawapita hapo mlangoni basi Ubungo ,Kimara ,Mbezi,Kiluvya,Masenze ,Mlimani,Mburahati na kwingineko fanyeni kweli huyu aliyeshindwa kwao asije kuwa mzigo zaidi kwenu.Wapeni vijana wenye usongo wa maendeleo na ustawi wa watanzania.
 
Duh 2010 hapatoshi Yo Yo kagombee Maganzu nitakuja kukupa kampani.
 
Kienepi_nepi Ubungo 2010. Naombeni kura zenu maslahi ya taifa mbele na utawala wa sheria, haki na uwajibikaji. Nitasema kweli daima na sitaiba kura.
 
Yes jana alionyeshwa ITV anaongea na mashekhe na watu wengine namnukuu: "mimi ni ndugu yenu nataka kugombea jimbo la ubungo,inshallah mwenyezi Mungu akijalia tutakuwa pamoja"
 
Yes jana alionyeshwa ITV anaongea na mashekhe na watu wengine namnukuu: "mimi ni ndugu yenu nataka kugombea jimbo la ubungo,inshallah mwenyezi Mungu akijalia tutakuwa pamoja"
nani tena huyo alionyshwa kwente tv, maana hapa tumeshatajiwa wagombea wengi
 
Kwani Mzee Keenja amefulia tayari? Hatagombea?

Naaam, yaani mtanzania umeniwahi, mimi baada ya kuona tuu post hii nikaanza kujiuliza Keenja kunani? Ina maana ametumia sabuni ya Foma Gold? hahaha...kazi kweli kweli tutaona mengi mwakani Mungu akipenda.
 
Last edited:
Kwa hali ilivyo sasa ubungo, hakuna atakayemchagua mbunge toka CCM,Mnyika
 
Back
Top Bottom