Shamsa Mwangunga, Batilda Burhan, Mwantum Mahiza

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
...Wanajamvi najiuliza hawa Wanasiasa kina Mama(Wabeijing) waliokuwepo Madarakani kama Mawaziri ktk Nusu ya kwanza ya Uongozi wa JK wamepotelea wapi sa hivi na wanajihusisha na nini la kumuondolea Mtanzania wa Leo Umasikini??

Shamsha Mwangunga - Former Waziri wa Maliasili na Utalii
Dr. Batilda Burhan - Former Waziri wa Mazingira, ofisi ya VP
Mwantum Mahiza - Former Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi
 
Dr Batlida burian anasubiri kuwa balozi wa TZ, wengine labda Ukuu wa mikoa
 
Zabeni Mhita kwa sasa ni mbunge Kondoa kaskazini. Pia fungua thread ya LIYUMBA BALAA utakuta jina lake na la binti yake kataka list ya wanawake wanaotajwa kufaidika na "misaada" aliyokuwa anamwaga huyu bwana.
 
Back
Top Bottom