Shamsa Ford wa Bongo Movies wamo, tatizo kugonganisha wachumba

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
Shamsa Ford: "Ni kweli nimechumbiwa na Austine (Mchumba namba 1). Dick (Mchumba namba 2) ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?"
Shamsa.jpg
 
...Halafu mtu unaoa huyu wakati anaona ni halali kuwa na mabwana wawili na kuwapangia zamu! Kha.
 
Shamsa Ford: Ni kweli nimechumbiwa na Austine. Dick ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?
View attachment 29815

Hicho kiwiko mbona cheusi! Mkorogo nini!? Lakini mtoto bomba siyo siri. Amekaa mkao wa kulambwa. Madume ya mbegu kama sisi, ni siku moja tu anaanza kujisikia kichefuchefu.
 
Shamsa Ford: "Ni kweli nimechumbiwa na Austine. Dick ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?"​


View attachment 29815

Mbona yupo nusu utupu? Au bado anatafuta mchumba? Hivi wachumba wengine wanapatikana kwa style ya kukakaa utupu? Pia anamaanisha Dick ni Dickson au dick = shaft?
 
Shamsa Ford: “Ni kweli nimechumbiwa na Austine. Dick ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?”
View attachment 29815
Kaka huu msemo si ule wa filamu ya zawadi ya birthday iliyofanywa na jb na rich au?na hayo majina ndio yaliyotumika ktk hiyo movies dick na austine?ufafanuzi kidogo mkubwa
 
You know what? Wanawake karibu wote wanacheat, sema mastaa wakicheat tunapata taarifa kwa sababu wanaangaliwa na macho kibaao!! Hata wake zetu, kama utafuatilia sana, utasikia tu. Kwa kuwa hutapata ushahidi, utabaki kwenye dilemma na kudhani kuwa ni uzushi!!
 
kagonganisha wachuma mabuzi? maana ukisema wachuma ina maana mmoja wao alitaka kuowa au wote walitaka kumuowa. mwanamke wa kuolewa hawezi kuwa huyu
 
kagonganisha wachuma mabuzi? maana ukisema wachuma ina maana mmoja wao alitaka kuowa au wote walitaka kumuowa. mwanamke wa kuolewa hawezi kuwa huyu

Husisema hivyo bana, unaweza kuta huyo wako unayetegea kuoa/uliyeoa ana mambo kuliko huyu, sema tu kwa sababu hafahamiki kama huyu.
 
Shamsa Ford: "Ni kweli nimechumbiwa na Austine (Mchumba namba 1). Dick (Mchumba namba 2) ananipenda sana na anataka kunioa, nina wakati mgumu lakini kinachoshindikana ni nini kama kila mtu ana wakati wake?"
View attachment 29815
Ni kosa la jinai kwa Dick kutaka kujisevia toto hili peke yake inabidi akubali kushea 'kizuri kula na wenzio', hahaha!
 
Back
Top Bottom