Shamra shamra za mkutano wa CCM zimeanza

Status
Not open for further replies.
CCM aiwezi kuwa chanzo cha umaskini hapa Tanzani sababu Vijana wengi wa Tanzania awapendi kufanya kazi,wengi uishia kuvuta bangi na kukaa kwenye vijiwe.kwa hiyo wewe unategemea CDM hiki chukua madaraka itafanya kuwagawia pesa,watu wanaoshinda vijiweni ili kuinua Hali nzuri za Wananchi.Mkuu kuwa great thinker acha ukilaza.
Nafikiri wewe sio miongoni mwa Watanzania wanaoishi chini ya Dola 1, ndani ya CCM viwanda vingi vimekufa mfn viwanda vya nguo ambavyo zamani viliongeza wigo wa ajira kwa wakulima na vijana pia katika nchi hii tujiulize hao vijana hizo bangi na madawa ya kulevya nani anayeuza? je hakuna viongozi ndani ya CCM wanaohusika na biashara hizo? kama ni ndiyo sio kweli CCM inachangia umasikini nchi hii!
 
chupi za wapinzani zimelowa kusikia sauti ya ccm, tuliwapa nafasi mkaitumia hakuna aliyelalamika leo ni zamu ya wana darisalamu kuoneshwa uchafu wa cdm wenye chembe za ukabila,udini na matumizi mabaya ya fedha. Nape usisahau picha za jumba la hawala wa slaa alilojengewa na cdm kama zawadi ya kumtoroka mumewe.

huu ndo upumbavu na wenye mawazo kama aya ndo wanasababisha ccm iendelee kuwa dhoofu li hali, badala ya kwenda kuwaeleza watanzania wamefanyia nini kodi zetu tangu washike dola, wewe unawashauri kwenda kutoa kashfa na matusi?? Wewe ziro kabisa,
nawashauri wazazi msiwaruhusu watoto wenu kuudhuria mkutano huu wa ccm utakaofanyika chadema square, kwani wanaenda kufundishwa na ccm matusi pia kashfa na namna ya kutukana
 
kumbukumbu zangu znankumbusha kuwa jeshi la police tz kanda maalum dar es salaam chini ya Kova, kilitoa sharti kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kutokwenda kimakundi kwenye mkutano wao jangwan kimakundi. . .
leo kunamkutano wa ccm pale pale jangwan lakini sijasikia tamko la police juu ya utaratibu kwa ccm juu ya kwenda pale jangwan,
Naomba mwongozo tafadhali, kama kunataarfa kutoka jeshi la police juu ya hili. .
 
:A S thumbs_down: CC wabara tunajukumu kubwa kuwaelimisha wtz hasara itakayo wapata kukumbatia Mamba!! (Magamba)
 
eti mkutano utaelezea msimamo wa ccm juu ya vurugu za uamsho zanzibar!ajira wakati elimu bomu mnawapa vijana,no umeme!
 
Polisi hutoa tahadhari kutokana na intelijensia wanayoipata.

Kwa watu wa shari na fujo kama CDM ilikuwa ni order sahihi! ila kwa ccm lini umesikia wamefanya fujo kwenye mikutano yao?
 
Jeshi letu la Polisi limekosa uhalali wa kuwa jeshi la Polisi mara mbili. Kwanza kwa kitendo chake cha kuruhusu Waislamu Waandamane bila kuwa na kibali siku ya jana. Pili iliwapiga kwa mabomu ya machozi waadamanaji wa CHADEMA ili kuvunja maandamano yao yaliyofanyika Arusha huku wakiwa na kibali. Katika maandamano hayo ya CHADEMA waliua kwa kukusudia waandamaji watatu. Leo tena linaingia katika kashfa nyingine ya kuruhusu WanaCCM kuandamana kulekea Jangwani bila kuwa na kibali. What shame is this for Said Mwema & Co?

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Polisi hutoa tahadhari kutokana na intelijensia wanayoipata.

Kwa watu wa shari na fujo kama CDM ilikuwa ni order sahihi! ila kwa ccm lini umesikia wamefanya fujo kwenye mikutano yao?

mkuu me sidhan kama uko sahihi, naomba unikumbushe ni lini chadema walifanya mkutano wakaanzisha vurugu, tuanzie hato kwanza
 
Jeshi letu la Polisi limekosa uhalali wa kuwa jeshi la Polisi mara mbili. Kwanza kwa kitendo chake cha kuruhusu Waislamu Waandamane bila kuwa na kibali siku ya jana. Pili iliwapiga kwa mabomu ya machozi waadamanaji wa CHADEMA ili kuvunja maandamano yao yaliyofanyika Arusha huku wakiwa na kibali. Katika maandamano hayo ya CHADEMA waliua kwa kukusudia waandamaji watatu. Leo tena linaingia katika kashfa nyingine ya kuruhusu WanaCCM kuandamana kulekea Jangwani bila kuwa na kibali. What shame is this for Said Mwema & Co?

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),

tumbiri@jamiiforums.com

Leo mtasema mengi mengi sana, mkuu tumbo lakuhara limetulia sasa ?

Jeshi letu la Polisi limekosa uhalali wa kuwa jeshi la Polisi mara mbili. Kwanza kwa kitendo chake cha kuruhusu Waislamu Waandamane bila kuwa na kibali siku ya jana. Pili iliwapiga kwa mabomu ya machozi waadamanaji wa CHADEMA ili kuvunja maandamano yao yaliyofanyika Arusha huku wakiwa na kibali. Katika maandamano hayo ya CHADEMA waliua kwa kukusudia waandamaji watatu. Leo tena linaingia katika kashfa nyingine ya kuruhusu WanaCCM kuandamana kulekea Jangwani bila kuwa na kibali. What shame is this for Said Mwema & Co?

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),

tumbiri@jamiiforums.com

Wewe kwa akili yako ilivyo unadhani watu wanataka kuvamia kituo cha polisi na kupora silaha unadhani jeshi la polisi litachukuwa hatua gani?
 
Wewe kwa akili yako ilivyo unadhani watu wanataka kuvamia kituo cha polisi na kupora silaha unadhani jeshi la polisi litachukuwa hatua gani?
ritz,
Kwa hiyo CHADEMA walitaka kuvamia vituo vya Polisi na kupora silaha? Na kama ni hivyo kwa nini Polisi haikuwakamata washukiwa na kuwaweka rumande kwa uchunguzi zaidi? Mwambieni Said Mwema asipokuwa makini atakwenda 'The Hugue'. Siku hizi hakuna cha kumsalia Mtume. Nyie mburuzeni lakini itakula kwake siku moja maana tunajua mnamwamrisha kwa kumpigia simu tu. Hamumpi vimemo wala madokezo maana mnajua vitakuwa ushahidi mahakamani. Dunia ya sasa imebadilika. Malipo ni hapa hapa!

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
kumbukumbu zangu znankumbusha kuwa jeshi la police tz kanda maalum dar es salaam chini ya Kova, kilitoa sharti kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kutokwenda kimakundi kwenye mkutano wao jangwan kimakundi. . .
leo kunamkutano wa ccm pale pale jangwan lakini sijasikia tamko la police juu ya utaratibu kwa ccm juu ya kwenda pale jangwan,
Naomba mwongozo tafadhali, kama kunataarfa kutoka jeshi la police juu ya hili. .

hilo linawezekana kabisa kwani wao ndio wanaotawala nchi hiyo..
 
policcm watasema nini?

sometime polisi huwa wanatumia akili ya kawaida ambayo ni sahihi kabisa kama kuwaacha mashabiki wa chadema na wananchi wa ubungo kutembea kwa makundi kutoka kigamboni mpaka ubungo bila kibali kwa amani kabisa, matukio mengine hulazimishwa kufanya na wanasiasa kwa manufaa ya wanasiasa
 
Nivyema kuwaza na kufikiri kabla ya mkutano kuanza hasa kujuwa mategemea na matalajio ya watanzania kuhusu mkutano wa leo jangwani,(nn watanzania wanataka kusikia) kama unaweza kuwa na maoni au unabii juu ya mkutano wa ccm karibu utujuze.
 
Vp umeshamaliza mucous kwa ufadhili wa mh.sitta! Tehteh but anyway waltz Havana Hama yakuwasikia cam kwasasa tumewasikia tango Uluru haiku a cha maana tumeona azide ya umaskini,Maradhi,na ujinga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom