CCM aiwezi kuwa chanzo cha umaskini hapa Tanzani sababu Vijana wengi wa Tanzania awapendi kufanya kazi,wengi uishia kuvuta bangi na kukaa kwenye vijiwe.kwa hiyo wewe unategemea CDM hiki chukua madaraka itafanya kuwagawia pesa,watu wanaoshinda vijiweni ili kuinua Hali nzuri za Wananchi.Mkuu kuwa great thinker acha ukilaza.
elimu za dot com ndo faida ya kuwa na ccm kwa miaka 50
CCM aiwezi kuwa chanzo cha umaskini hapa Tanzani sababu Vijana wengi wa Tanzania awapendi kufanya kazi,wengi uishia kuvuta bangi na kukaa kwenye vijiwe.kwa hiyo wewe unategemea CDM hiki chukua madaraka itafanya kuwagawia pesa,watu wanaoshinda vijiweni ili kuinua Hali nzuri za Wananchi.Mkuu kuwa great thinker acha ukilaza.
kwa utafiti wako mwepesi hao dot com wapo ccm ama cdm ?
Kupunguza au kuondoa umaskini kwa wananchi wake au siyo ahadi hiyo??ili ueleweke vizuri sema AHADI ZAKE
kauli za uoga hizo,tusubiri saa nane kama kujamba umeanza saa hii basi njioni ni uaro
Kuna jamaa jangu mmoja dogo tu mjumbe wa nyumba kumi ccm yeye anasema anachufuata huko ni hela tu.. naskia kuna vibahasha.. hii sms alitumiwa jana inasomeka hivi "Kesho saa sita mchana unatakiwa ofisini TAWINI pamoja na wanachama wako kwa ajili ya kwenda jangwani kwenye mkutano ni muhimu njoo na watu wako, KATIBU MWENEZI" cha kushangaza anakwenda peke yake hakuna mwenye mpango nae.Wanabodi nipo mbagala maeneo ya kizuiani ile kampeni jaza uwanja imeanza gari lenye vipaaza sauti linasumbua wananchi Wana lalamika huu ni muda wa kazi wao hamasisha jangwani mbona mbona Hawawi watulivu Kama wenzao chadema watu Wana waonyesha vidole viwili . Wengine wanasema Chama tawala kinatakiwa kutekeleza ahadi zake wala sio kwenda kukusanya watu jangwani huu ni muda wa vitendo na wala siyo maneno
Kwaiyo we unakaa mbagala maana Iyo saa 12 asubuhi si mchezo...na uache Uwongo matangazo alfajiri..msiweweseke magwanda si msubiri wezenu wafanye mkutano wao Ndio mje hapa namaneno..na ishu ya kubeba watu mbona huku kimara kulikodiwa daladala na wanachamba wa magwanda wakienda jangwani ..Kwaiyo mnataka wanachama wa CCM watembee kwa miguu wakienda jangwani?Wanabodi nipo mbagala maeneo ya kizuiani ile kampeni jaza uwanja imeanza gari lenye vipaaza sauti linasumbua wananchi Wana lalamika huu ni muda wa kazi wao hamasisha jangwani mbona mbona Hawawi watulivu Kama wenzao chadema watu Wana waonyesha vidole viwili . Wengine wanasema Chama tawala kinatakiwa kutekeleza ahadi zake wala sio kwenda kukusanya watu jangwani huu ni muda wa vitendo na wala siyo maneno
Ni kweli Mkuu nakaa mbagala maeneo ya hapa kizuiani imekua kero kweli kweli Badala ya kutekeleza Ahadi tuone kwa vitendo wanatupigia mikelele asubuhi huu sio muda wa kampeniKwaiyo we unakaa mbagala maana Iyo saa 12 asubuhi si mchezo...na uache Uwongo matangazo alfajiri..msiweweseke magwanda si msubiri wezenu wafanye mkutano wao Ndio mje hapa namaneno..na ishu ya kubeba watu mbona huku kimara kulikodiwa daladala na wanachamba wa magwanda wakienda jangwani ..Kwaiyo mnataka wanachama wa CCM watembee kwa miguu wakienda jangwani?
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora
- Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini
- Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria-Igunga
- Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga
- Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma
- Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-Dodoma mjini
- Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo, Dodoma
- Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi-Kagera
- Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi-Kagera
- Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba-Bukoba Mjini
- Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
- Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda- Kagera
- Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- Kagera
- Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu-Kagera
- Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- Mbeya
- Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba-Kagera
- Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
- Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika-Mwanza
- Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza
- Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani- Geita
- Kulinda muungano kwa nguvu zote-Pemba
- Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa-Morogoro
- Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa-Mbeya mjini
- Kujenga bandari Kasanga Rukwa
- Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
- Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -Mbeya
- Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama- Tanga
- Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- Iringa
- Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi -Dar es salaam- Same mkoani Kilimanjaro
- Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same-Same Mjini
- Kuboresha barabara za Igunga -Tabora
- Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- Kisesa Magu
- Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- Mbeya Mjini
- Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)-Hydom Manyara
- Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa- Musoma
- Kulinda haki za walemavu- Makete
- Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa mjini
- Kujenga barabara MusomaMto wa Mbu Arusha-Arusha
- Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
- Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma Kaliua,Tabora
- Kukarabati barabara ya Arusha Moshi-Arusha Mjini
- Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa,mpaka Singida-Dodoma
- Kuwafidia wanakijiji ngombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- Longido 45.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
- Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha Arusha mjini
- Kukopesha wavuvi zana za kilimo-Busekera, Wilaya ya Musoma, .
- Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido
- Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti Ngorongoro
- Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani Manyara
- Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
- Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa
- Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika- Iringa
- Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania-Iringa
- Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda
- kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa Mara
- kuwapa wanawake nafasi zaidi-Kilolo ,Iringa
- ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar
- Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa-Kabandamaiti mjini Zanzibar
- Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada-Kibandamaiti
- Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-Ruvuma
- Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma
- kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga(MBICU) Ruvuma
- Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania Ruvuma
- Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
- Mtwara kuwa mji wa Viwanda Mtwara
- Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-Kibaha
- Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa-Kibaha
- Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -Kibaha
Bila shaka hapo utakuwa umeridhika na ahadi ya serikali ya ccm!
​kwa hisani ya mtu wa Tanganyika
Wanabodi nipo mbagala maeneo ya kizuiani ile kampeni jaza uwanja imeanza gari lenye vipaaza sauti linasumbua wananchi Wana lalamika huu ni muda wa kazi wao hamasisha jangwani mbona mbona Hawawi watulivu Kama wenzao chadema watu Wana waonyesha vidole viwili . Wengine wanasema Chama tawala kinatakiwa kutekeleza ahadi zake wala sio kwenda kukusanya watu jangwani huu ni muda wa vitendo na wala siyo maneno
Ina mana Mbagala ndio vilaza wa DSM walipo!!!.
Shamra shamra?