Shame upon you Chadema - Mhariri wa gazeti la serikali huyo

Ndio tunakwambia porojo za zamani Zitto kisha waacha solemba ebu tueleze umemuuliza mzee wa makafara kwanini NBC sasa hivi inaungua,Mzee wa MAJINI KIKWETE ha ha ha mwaka Huu sijui atajificha wapi balaa juu ya balaa uporaji wa haki za wananchi mmh

Hata ziungue zote rostam yupo so atatimiza tu ahadi zake,tena kama umesahau ndo mpango wa ccm huo,iba hela then choma moto benki ionekane ni ajali hahahahahaha,full kutimiza ahadi
 
ila kweli,ngoja niangalie cha kuondoka nacho huku,hakufai tena na inabidi nikiondoka niwe niameacha ufa wa maana
ndiyo mkuu usijeukaacha pesa za mafisadi zazoooote abakiwe nazo makamba na team yake. Si unajua migari tunayoagizaga na tunakwepa kodi nchi si yetu hiiii bwana.
 
Na ccm wapo milioni 4. Wakijibu kitabaki kitu?
Unafikiri kimabavu bila kujua kuwa unajiumiza mwenyewe.

Vamieni tena vituo vya polisi muone, tutaingia mitaani kuwapa tafu polisi. Hapo ndio kitaeleweka.

Hao ccm mil4 ni type ya diwani wa arusha aliye jiuzulu juzi,anakwambia alipiga kampeni ila kura hakumpa jk!
Sio huyo tu,wengi hawakumpa ila uchaka chuaji
 
unaaibisha chama henge kwani jk ndo msajili wa vyama,ngoja nimwambie hela zinaungua saivi sijui atatimiza vipi ahadi maskini
mkuuu hujui nyundo ya jk kwenye nchi hii, jk kamteua kila mtu sasa kwanini asimuendeshe kama anavyotaka! Na kila anayemteua lazima awe kada wa ccm fuatilia ujue ukweli mkuu na hii ndo ccm yetu.
 
ndiyo mkuu usijeukaacha pesa za mafisadi zazoooote abakiwe nazo makamba na team yake. Si unajua migari tunayoagizaga na tunakwepa kodi nchi si yetu hiiii bwana.

Afu niliskia fununu jamaa mmoja anataka kuchota pesa kisha achome benki,na sasa hivi naskia kuna benki inaungua ngoja niangalie mpango hapa,nakwambia huu mwaka wa kula kwanza,kwanzia mwakani naingia chadema kujenga umaarufu then 2015 huyooooo mbunge wa Tarime kupitia chadema hahahaha,hadi raha
 
Sasa mashabiki wa Chadema wamejua kuwa ni hatari kuvamia kituo cha polisi kama walivyofanya Arusha.

Wamejua kuwa kituo kama kile kitalindwa kwa njia yeyote hata ikibidi watu kufa, wafe.

Haiwezekani kuachia silaha nyingi na nyaraka nyeti zilizoko kwenye kituo kama kile zikaangukia mikononi mwa wahuni na waovu. Pia ni hatari kwa raia wote iwapo wahalifu waliokuwa wanashikiliwa pale wangetoroka.

Sasa wamejua kuwa wanatumiwa na viongozi wa chama chao kwa lengo la kujinufaisha kisiasa kwa gharama yeyote....Hata ikibidi watu wafe ili tamaa za kisiasa na za kibiashara za kundi hili la Wachagga wachache zitimizwe.

Bado wana kumbukumbu jinsi walivyochochewa na kuona wenzao wakifa kijinga na wengine kujeruhiwa vibaya na baadaye viongozi waliowachochea wakajipeleka Hoteli ya kifahari ya Mt Meru kusherehekea maovu yao. Bahati nzuri walikamatwa na kulazwa wanakostahili.

Wameona jinsi miili ya waliouawa ilivyotumika kisiasa na kinyume cha imani zao.

Wameona jinsi viongozi wa chama chao walivyokuwa wakilia na kuomboleza kisanii.

Wameona kejeli ya chama chao kwa ndugu za marehemu walivyoambulia rambirambi ya shs laki tano zilizotolewa kwa mbwembwe nyiingi za kichama.

Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa Chadema.

Bwn Kishongo,
Na wameona kuwa wewe Kishongo na wenzako hamkai mwezini wala taifa lingine tofauti na Tanzania. Wanajua labda wewe usiyejua kuwa umeme unapanda kila kukicha bila kujali kabila, awe mchaga , mhaya, myakyusa wala machinga wote tuko affected.Bei za mafuta zinapanda kila kukicha,vitu vyote bei juu.
Wanajua kuwa serikali kwa amri ya mkuu wa boma italipa Dowans mabilion ya fedha zaidi ya 94bn.
Wanajua kuwa nchi hii maskini inazidi kupelekwa kwenye ufukara wa ajabu na viongozi chumia tumbo wasiojali haki za watu hata kudiriki kuwatawanya kwa risasi kama unavyoshabikia.
Unadhani kwa nini kukawa na vita za ukombozi Tanzania ikiwa kinara, tumia kichwa ndg usifikiri kwa kutumia nyayo. Think Man Think Big. Unatakiwa kulaani ili watu wadai haki si kushabikia hawa mafisadi, una hisa humo ndg yangu au vipi????????????
 
Afu niliskia fununu jamaa mmoja anataka kuchota pesa kisha achome benki,na sasa hivi naskia kuna benki inaungua ngoja niangalie mpango hapa,nakwambia huu mwaka wa kula kwanza,kwanzia mwakani naingia chadema kujenga umaarufu then 2015 huyooooo mbunge wa Tarime kupitia chadema hahahaha,hadi raha
mkuu mipango yako mikubwa wewe kusanya mapesa ya kampeni tuu! ila ukifika chadema usionyeshe inaonekana wakiona unatoa rushwa wanaweza kukufanya mfano. ALL THE BEST MKUU NA SAFARI HIYO MIMI SITOKI CCM ILA AKILI KUMKICHWA!
 
Chadema bwana inatutesa sisim kweli, mzimu wake unatufuata popote tulidhani itakuwa kama nccr mageuzi ya mrema ila hii ya chadema mhhhhh! Namkumbuka mangula mie siyo huyu kilaza makamba.

jamani hiki chama cha chadema mbona kinanivutia namna hii, naomba unielekeze namna ya kuwa mwanachama, angalau by 2015 Niwe wakala wa kujitolea, nimechoka.
 
sasa mashabiki wa chadema wamejua kuwa ni hatari kuvamia kituo cha polisi kama walivyofanya arusha.

Wamejua kuwa kituo kama kile kitalindwa kwa njia yeyote hata ikibidi watu kufa, wafe.

Haiwezekani kuachia silaha nyingi na nyaraka nyeti zilizoko kwenye kituo kama kile zikaangukia mikononi mwa wahuni na waovu. Pia ni hatari kwa raia wote iwapo wahalifu waliokuwa wanashikiliwa pale wangetoroka.

Sasa wamejua kuwa wanatumiwa na viongozi wa chama chao kwa lengo la kujinufaisha kisiasa kwa gharama yeyote....hata ikibidi watu wafe ili tamaa za kisiasa na za kibiashara za kundi hili la wachagga wachache zitimizwe.

Bado wana kumbukumbu jinsi walivyochochewa na kuona wenzao wakifa kijinga na wengine kujeruhiwa vibaya na baadaye viongozi waliowachochea wakajipeleka hoteli ya kifahari ya mt meru kusherehekea maovu yao. Bahati nzuri walikamatwa na kulazwa wanakostahili.

Wameona jinsi miili ya waliouawa ilivyotumika kisiasa na kinyume cha imani zao.

Wameona jinsi viongozi wa chama chao walivyokuwa wakilia na kuomboleza kisanii.

Wameona kejeli ya chama chao kwa ndugu za marehemu walivyoambulia rambirambi ya shs laki tano zilizotolewa kwa mbwembwe nyiingi za kichama.

Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa chadema.
holly crap!
 
mkuu mipango yako mikubwa wewe kusanya mapesa ya kampeni tuu! ila ukifika chadema usionyeshe inaonekana wakiona unatoa rushwa wanaweza kukufanya mfano. ALL THE BEST MKUU NA SAFARI HIYO MIMI SITOKI CCM ILA AKILI KUMKICHWA!

Usikaze shingo henge,upepo sio wa ccm tena ohoooo,we kama ni mtunza hazina ndo mda wa kula then choma office kama mnatunza locally huko au mradi uliopo kula hela then choma mafaili/office kupoteza ushahidi,....yani mpango wangu ni mkubwa sana tu,utatekelezeka mda si mrefu!

Ila dah,ukiwa ccm ukaondoka maskini wewe ni mjinga kweli,ukiiba hamna wa kukuuliza yani,...wakijua umeiba nao wanalipiza kwa dau kubwa
 
jamani hiki chama cha chadema mbona kinanivutia namna hii, naomba unielekeze namna ya kuwa mwanachama, angalau by 2015 Niwe wakala wa kujitolea, nimechoka.
wewe ndo walewale ukitaka kazi, biashara na maisha yawe ya raha kwako njoo ccm. hivi hamuoni wahindi wenzenu wanavyofanya.
AU MNAZANI HAWANA AKILI KUJIUNGA NA CCM HALAFU WANANCHI KUGAWIWA VITENGE NA KUCHEKELEA TUU.
mkuu ukitulia ccm unapewa bajaji buuure.
 
That is nonsense.

Sitaki kuwa brainwashed kama ninyi.

You calling yourself a Great thinker? kauze maandazi, there is where you fit.

Umechemka jamaa yangu ebu jirudi basi maana unaonekana wewe ni muungwana wala si fisadi!!!!!!!!!!!!! Au unatumiwa?????????
 
Usikaze shingo henge,upepo sio wa ccm tena ohoooo,we kama ni mtunza hazina ndo mda wa kula then choma office kama mnatunza locally huko au mradi uliopo kula hela then choma mafaili/office kupoteza ushahidi,....yani mpango wangu ni mkubwa sana tu,utatekelezeka mda si mrefu!

Ila dah,ukiwa ccm ukaondoka maskini wewe ni mjinga kweli,ukiiba hamna wa kukuuliza yani,...wakijua umeiba nao wanalipiza kwa dau kubwa

mkuu kuna mradi nausubilia nikiupata huu na kufanikiwa ntaanza kufikilia wazo lako.
Yaanii ukitoka ccm masikini ujue wewe ndo mjinga wa mwishooo au unadamu ya Nyerere.
 
wewe ndo walewale ukitaka kazi, biashara na maisha yawe ya raha kwako njoo ccm. hivi hamuoni wahindi wenzenu wanavyofanya.
AU MNAZANI HAWANA AKILI KUJIUNGA NA CCM HALAFU WANANCHI KUGAWIWA VITENGE NA KUCHEKELEA TUU.
mkuu ukitulia ccm unapewa bajaji buuure.

hahahaha,umenikumbusha enzi zile nimepewa baiskeli bure,afu wakasema baada ya miaka miwili watanipa nyingine,....yaaani ukiingia ccm,watakacho anza kukupa ndo hicho hicho forever hakuna kuongezeka!
Nilipo hama tawi dah,huku niliko kuna ulaji bana,ila kampeni kwa mfano nilimfanyia mnyika wa ubungo,so kama hana hela aende ccm akale ila michango apeleke chadema kama anakipenda (sio michango tu,na kura yako mda wa uchaguzi ukifika)
 
[/B][/COLOR][/U]

mkuu kuna mradi nausubilia nikiupata huu na kufanikiwa ntaanza kufikilia wazo lako.
Yaanii ukitoka ccm masikini ujue wewe ndo mjinga wa mwishooo au unadamu ya Nyerere.

Hahahaha,damu ya nyerere hata watoto wake hawana,siku hizi kama kina makongoro wanakula balaa!
 
hahahaha,umenikumbusha enzi zile nimepewa baiskeli bure,afu wakasema baada ya miaka miwili watanipa nyingine,....yaaani ukiingia ccm,watakacho anza kukupa ndo hicho hicho forever hakuna kuongezeka!
Nilipo hama tawi dah,huku niliko kuna ulaji bana,ila kampeni kwa mfano nilimfanyia mnyika wa ubungo,so kama hana hela aende ccm akale ila michango apeleke chadema kama anakipenda (sio michango tu,na kura yako mda wa uchaguzi ukifika)
mkuu hata mimi nilishawahi pewa baiskeli eenzi ziiile za mkapa. ungevumilia mkuu huwa wanapanda dau unafika mpaka kwenye kupewa kazi na kusimamia miradi kibao. huku ni raha kwenda mbele mkuu ccm daima. sijui labda ntaondoka kwa mtutu.
 
Poleni mliofiwa,lakini tuliobaki tuwe na tahadhari sana na viongozi wa kisiasa.Wao wako tayari kututumia kwa namna yoyote ile ili wapate umaarufu na mslahi yao.Sasa hivi familia za wafiwa zimebaki na majonzi,lakini viongozi wa Chadema wataendelea kupeta na kufaidi mamilioni ya pesa za serikali na chama chao (Slaa mill 12 Mbowe,Lema.Ndesamburo zaidi ya mill 8 kwa mwezi)

Hali kadhalika wakajifanya watu wa mbele na kuuza sura katika magazeti ili waonekane watu wema chamsingi roho hailipiki ila cha kufanya mukawalipe fidia ndugu na jamaa waliokuwa wanawategemea.

Wito kwa wanajamii tuamke tusiwe muhanga kwa ajili ya wanasisa Mbumbu kwa maslahi yao. Na ikiwezekana Itungwe sheria Chama Kinachopelekea mafa kifufutwe Jamani si wote wanatanzania ni waelewa vyombo vya habari vitusaidie sisi wananchi msiwabebe wanasiasa
 
Back
Top Bottom