Kinachoendelea Loliondo: Shame on them! - Mwinyi, Mkapa, and Kikwete!

Wazungu hawawindi kwa machine-gun. Wazungu hao hatujasikia wakisafirisha wanyama kwao ( ukiondoa vyura wa Mtera). Siku moja moja fungua pazia la udini utaona mengi.

Amandla.....

Nenda idara za ,aliasili ukaone tkwimu za wanyama, utajuwa wengi wanaenda wapi? na nani aliokudanganya Loliondo wanawinga na machine gun? Kama hujui, wanakuja kuwinda na Falcons na mbwa wa kuwindia, machine guns ni za kuwalinda wao! usiyejuwa maana wee!
 
Hizo takwimu mbona hautaki kuziweka? Huo uwindaji wa falcon si wa bongo, ni wa huko kwao. Uwindaji huo unafaa zaidi kwenye jangwa na si kwenye mbuga kama za kwetu. Utawindaje simba kwa falcon?

Shutuma za kwamba wanatumia machine gun ni za siku nyingi. Na wao wamejitetea kuwa wanazitumia kujilinda. Kujilinda kutoka nani na SMG! Uongo mtupu.

Amandla......
 
For your information, huo uwindaji wa kwao ndio wananakuja kuufanyia starehe hapa. Na hizo machine gun wanajilinda na maadui wenye ''agenda za siri'' kama...
 
FM and DSM:

Hile ni investment na wateja wake wanatoka au kutegemea kutoka pande zote za dunia na sio Arabuni pekee yake.

Trophy Hunting ni mchezo uliokomaa sana Marekani na nchi nyingi za Ulaya. Hivyo wawindaji kwa sehemu kubwa watakuwa wazungu.

Wawindaji huwa wanaongozwa na walinzi ambao mara nyingi ni ndugu zetu wa damu. Na kwa maneno ya mwindaji mmoja kutoka Denmark anasema kuwa ukitoa kitu kidogo, waongozaji watakuruhusu kuua wanyama zaidi ya wale uliopewa.

Je katika matatizo haya wa kulaumiwa ni nani?

Wakulaumiwa ni sisi wenyewe. Tutatoa lawama kwa huyu Brigadia, lakini huyu ni investor. Na mamilioni yake hakuyapata kutoka mbinguni. Aliyafanyika kazi sehemu nyingine kabla ya kuja Tanzania.
 
- Mwalimu, alimuweka Mwinyi, alipoharibu akamukweka Mkapa, kabla ya kutangulia kwenye haki akampa ruhusa Mkapa kumuachia Kikwete, ambaye kabla ya kushika urais alikwenda Butiama, na kupewa zawadi maalum ya Biblia na Mama Maria mke wa Nyerere, aliyoachiwa maalum na Mwalimu mwenyewe kama tulivyoambiwa na mama huyu.

- That is how this nation's Pathetic road started na came into being! Tusipindishe ukweli kwa sababu it is what it is na it has nothing to do na wapiganaji, wala hisia zao on the ishu!

Respect.

FMEs!
 
Nimekupata, kama ilivyokuwa enzi za utumwa, lakini hawa wazungu wametuzidi akili kweli! yaani hata, watubughudhi vipi, hata wakiuwa ndugu zetu kwa kumwaga sumu kwenye mito, buheri wa afya, lakini ngoja mwarabu awe ndio sababu ya kufa mbuzi wanne! (kama ripoti inavyoonyesha), Duh! inakuwa zahama! hata kama hao mbuzi waliuliwa na wenyewe wenyeji basi ishakuwa waarabu!
 
- Mwalimu, alimuweka Mwinyi, alipoharibu akamukweka Mkapa, kabla ya kutangulia kwenye haki akampa ruhusa Mkapa kumuachia Kikwete, ambaye kabla ya kushika urais alikwenda Butiama, na kupewa zawadi maalum ya Biblia na Mama Maria mke wa Nyerere, aliyoachiwa maalum na Mwalimu mwenyewe kama tulivyoambiwa na mama huyu.

- That is how this nation's Pathetic road started na came into being! Tusipindishe ukweli kwa sababu it is what it is na it has nothing to do na wapiganaji, wala hisia zao on the ishu!

Respect.

FMEs!

1) Mwalim aliwekwa na nani?

2) Mwinyi katutowa kwenye lindi la umasikini halafu unasema leo kaharibu? Kipenzi cha asilimia kubwa ya wa Tanzania. una nini wewe?

3) Mwinyi alimaliza muda wake ki katiba na hakutolewa na Nyerere.

4) Hali kadhalika kwa Mkapa.

5) JMK alichaguliwa na wapiga kura na si vingine. Mkapa alikuwa hana hamu ya kumuachia JMK, kwani hata hotuba yake ilimkandia kistaarabu Mkapa, kama unakumbuka ''viatu vikubwa''.
 
- Mkuu Dar, vipi mbona una jazba sana? Hapo juu nimekushika pabaya sana nini ndugu yangu? Maaana sio kawaida yako kukurupuka namna hii vipi yakhe? Tuliza kitenesi hicho, kwani nani asiyejua kuwa Salmin alishindwa kura za Urais na akawa anyways,

- Sasa mbona ya Biblia aliyopewa Kikwete na mke wa Mwalimu umeyaruka ndugu yangu? Halafu unachotetea ni nini hasa katika hii thread?

Respect.

FMEs!
 
Nimekupata, kama ilivyokuwa enzi za utumwa, lakini hawa wazungu wametuzidi akili kweli! yaani hata, hatuwagudhi, hata wakiuwa ndugu zetu kwa kumwaga sumu kwenye mito, buheri wa afya, lakini ngoja mwarabu awe ndio sababu ya kufa mbuzi wanne! (kama ripoti inavyoonyesha), Duh! inakuwa zahama! hata kama hao mbuzi waliuliwa na wenyewe wenyeji basi ishakuwa waarabu!

Mzungu ametuzidi akili na ndio maana tuna kuku wa kizungu, ng'ombe wa kizungu, nyanya za Tomato, na ndizi za banana.

Waarabu wa Loliondo wamekuja kama investor ku-diversify invenstments zao. Customers wao ni watu wa kutoka kwenye mataifa yote na wenye pesa.

Kama wanakiuka mikataba yao, tunaweza ku-revoke license yao. Na kama wanachofanya ni sahihi kutokana na makubaliano ya mikataba, basi wa kujilaumu ni watanzania wenyewe.

Matatizo ya watanzania ni kutokuwa serious wanaposaini mikataba na ndio maana tuna matatizo katika mikataba mingi.
 
- Mkuu Dar, vipi mbona una jazba sana? Hapo juu nimekushika pabaya sana nini ndugu yangu? Maaana sio kawaida yako kukurupuka namna hii vipi yakhe? Tuliza kitenesi hicho, kwani nani asiyejua kuwa Salmin alishindwa kura za Urais na akawa anyways,

- Sasa mbona ya Biblia aliyopewa Kikwete na mke wa Mwalimu umeyaruka ndugu yangu? Halafu unachotetea ni nini hasa katika hii thread?

Respect.

FMEs!

Hayo mbona ya kawaida tu, hata mimi nnazo bibilia kama tatu. Tungejuwaje mnadanganya kuwa Yesu ''Mungu'' kama hatuzisomi Bibilia?

Mbona huyo mama maria alijenga hata msikiti ambao Nyerere hakuujenga na fedha alisha zipokea tokea uhai wake, akaminya! akaona Duh, labda ndio ulee moto uliowaka na mtetemeko wa ardhi uliotokea? duh Hatari kubwa.
 
- Swali ni kwa nini Mama Maria alimkabidhi Kikwete Biblia kule Butiama wakati wa kampeni za urais 2005, na kusema aliachiwa mahsusi na Mwalimu, sio Bibilia inasema nini hilo sio swali na wala usijaribu kuingiza dini ili kuharibu mjadala,

- Halafu unajua kwamba ni Mwalimu, ndiye aliyemsomesha shule Muungwana?

Respect.

FMEs!
 
Hayo ni mawazo yako binafsi na uzushi na kuwa mbabaishaji wa maneno wa hali ya juu. Mbona kuna mbuga nyingi sana zimechukuliwa na watu aina mbali mbali hususan wazungu, tena zina ukubwa maradufu zaidi ya hizo za Loliondo lakini huzisemi? Kwa nini ukweli unaoutaka kuulazimisha uwe wa upande mmoja tu? hizi ndio ''agenda za siri'' tunazozisema kila siku.

Hilo la Dowans linahusu nini? au Dowans wamefanya kosa lipi? ngoja usikie mifedha watakayolipwa ndio mtajuwa kuwa fitina za kijinga siku zote hazisaidii bali zina hasara kubwa kama yale ya wale wa Malaysia, nna uhakika unawajuwa na mpaka leo tunawalipa kutokea puwani. Kwa hayo hayo mafitina ya mijitu kama wewe, mkenda kututia hasara Taifa zima.

Loliondo, nini hasa walichokiiba? nini hasa walichochukuwa nje ya Sheria? nini hasa walichochukuwa wakapeleka nje ya Tanzania? zaidi ya wawekezaji wengine wa kwenye mbuga zingine? Tena ukitazama kwa makini hawa wa Loliondo wamesaidia na kutowa misaada kuliko mwekezaji mwengine yeyote aliewekeza kwenye Mbuga za wanyama.

Wacha hizo za kuleta, kwa sababu tu wawekezaji wa Loliondo ni... na Dowans ni... Utajaza mwenyewe!

Mbona unapenda sa kuwatetea waarabu mzee pamoja na ufisadi na madudu yote waliyofanya?!
 
- Swali ni kwa nini Mama Maria alimkabidhi Kikwete Biblia kule Butiama wakati wa kampeni za urais 2005, na kusema aliachiwa mahsusi na Mwalimu, sio Bibilia inasema nini hilo sio swali na wala usijaribu kuingiza dini ili kuharibu mjadala,

- Halafu unajua kwamba ni Mwalimu, ndiye aliyemsomesha shule Muungwana?

Respect.

FMEs!

Sizijui sababu za kumkabidhi bibilia, naomba nifahamishe!

Hilo la shule na kukatalia kabisa.
 
- Swali ni kwa nini Mama Maria alimkabidhi Kikwete Biblia kule Butiama wakati wa kampeni za urais 2005, na kusema aliachiwa mahsusi na Mwalimu, sio Bibilia inasema nini hilo sio swali na wala usijaribu kuingiza dini ili kuharibu mjadala,

- Halafu unajua kwamba ni Mwalimu, ndiye aliyemsomesha shule Muungwana?

Respect.

FMEs!
mkuu kwenye hilo la shule naona kama sina dataz.unaweza kulidadavua kwa faida ya wote including mimi.

thnks
 
Hayo mbona ya kawaida tu, hata mimi nnazo bibilia kama tatu. Tungejuwaje mnadanganya kuwa Yesu ''Mungu'' kama hatuzisomi Bibilia?

Mbona huyo mama maria alijenga hata msikiti ambao Nyerere hakuujenga na fedha alisha zipokea tokea uhai wake, akaminya! akaona Duh, labda ndio ulee moto uliowaka na mtetemeko wa ardhi uliotokea? duh Hatari kubwa.

Acha uwongo wa mchana. Msikiti wa Butiama ulimalizika hata kabla ya Mwalimu kufariki. Aliomba msaada wa fedha kutoka kwa Qadafi na alifikisha fedha zote. Hakuchukua hata senti tano!
 
Msikiti umejengwa baada ya Nyerere kufa.
 
Hapana. That is a damn lie. I was in Butiama for 6 days during the funeral.
I saw the mosque. It was finished. Waulize watu wa Butiama. Nadhani hata Zanaki ataniunga mkono kama bado yupo hapa.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom