labda kosa kubwa la Nyerere ni kumpinga Mrema kuwa raisi wakati ule (1995), ile nguvu aliyokuwa nayo Mrema wakati ule angeingia nayo madarakani nadhani adabu ingekuwepo katika hii nchi
Namanisha Augustin Lyatonga Mrema, mpaka sasa ndio mpiganaji wa kweli kwenye upinzani, sijuhi unamkataa kwa lipi, lakini ukweli usio pinginga alikuwa ni bora kuliko Mkapa, JK, Huwezi kutupa CV ya Mkapa ama JK ya utendaji wa kazi na misimamo ya ukweli kabla ya kuwa kwenye hivyo viti, sio Siri angeechemsha baadhi ya mambo kama binadamu wengine wanavyochemsha lakini by that time he was the bestMrema yupi? Augustine? you are joking myfriend
Na hii mbinu ya kuita raia sio raia wakati wanadai haki sijui mgunduzi wake ni nani. Haitafua dafu mbele ya safari kama watu wataendelea kuona ipo haja ya namna nchi inavyoongozwa ibadilishwe. Dawa ni kusoma alama za nyakati na kubadilika. Tusije kutajikuta haya mambo yanatuadhibu bila huruma mbele ya safari.Wakati serikali nyingine duniani zina hakikisha ukweli unatawala, Tanzania ukisema ukweli wewe ni adui wa serikali, ajabu. Upuuzi wa loliondo hakuna asiye jua lakini unashangaa kikwete anakaa kimya kama vile hakuna kinachotokea, sasa leo walioandamana wanaitwa siyo raia, kuwa ni watu kutoka kenya.
Nakumbuka Jenerali Ulimwengu alimpo mkosoa mkapa na serikali yake aliambiwa siyo raia na akatishiwa kufukuzwa nchini. Ninacho jiuliza mimi ni je, CCM na serikali yenu mtajificha wapi siku chama chenu kikishindwa?? Kweli mtatoka jela??
Wakati serikali nyingine duniani zina hakikisha ukweli unatawala, Tanzania ukisema ukweli wewe ni adui wa serikali, ajabu. Upuuzi wa loliondo hakuna asiye jua lakini unashangaa kikwete anakaa kimya kama vile hakuna kinachotokea, sasa leo walioandamana wanaitwa siyo raia, kuwa ni watu kutoka kenya.
Nakumbuka Jenerali Ulimwengu alimpo mkosoa mkapa na serikali yake aliambiwa siyo raia na akatishiwa kufukuzwa nchini. Ninacho jiuliza mimi ni je, CCM na serikali yenu mtajificha wapi siku chama chenu kikishindwa?? Kweli mtatoka jela??
Namanisha Augustin Lyatonga Mrema, mpaka sasa ndio mpiganaji wa kweli kwenye upinzani, sijuhi unamkataa kwa lipi, lakini ukweli usio pinginga alikuwa ni bora kuliko Mkapa, JK, Huwezi kutupa CV ya Mkapa ama JK ya utendaji wa kazi na misimamo ya ukweli kabla ya kuwa kwenye hivyo viti, sio Siri angeechemsha baadhi ya mambo kama binadamu wengine wanavyochemsha lakini by that time he was the best
Mkuu hapa sijui unatumia vigezo vipi hasa. Sidhani kama Mrema angekuwa rais angetofautiana sana na wengine wowote ambao wangekuwa marais. Na sina uhakika sana unaposema "mpiganaji" unamaanisha nini. Kwa tabia yake aliyokuwa nayo ya kutoa 'siku saba' kwa kila kosa kutolewa maelezo au kutatua matatizo ya wanawake ambao wananyanyaswa na bwana zao?
Kweli kuna mazuri aliyoyafanya alipokuwa waziri, ila ungeniambia kuwa angekuwa na mchango mzuri kwa taifa na watanzania kama angekuwa mbunge wa kawaida ningekubaliana nawe.
Namanisha Augustin Lyatonga Mrema, mpaka sasa ndio mpiganaji wa kweli kwenye upinzani, sijuhi unamkataa kwa lipi, lakini ukweli usio pinginga alikuwa ni bora kuliko Mkapa, JK, Huwezi kutupa CV ya Mkapa ama JK ya utendaji wa kazi na misimamo ya ukweli kabla ya kuwa kwenye hivyo viti, sio Siri angeechemsha baadhi ya mambo kama binadamu wengine wanavyochemsha lakini by that time he was the best
Mwanakijiji political analysis zimeshindwa kuelezea tatizo letu. Hata sociological analysis zimegonga mwamba. Kilichobaki ni psychoanalysis/psychological analysis - we must be very very sick upstairs! Kumbuka adui wakuu 2 kati ya wale 3 ni Maradhi na Ujinga!
Jibu lako lipo one step away. Msikilize bwana umeme, Nyani Ngabu.
Yupo kwenye denial huyo....
Probably his mistake was not to have multifaced succession plan. Aliwaachia nchi watu waliokuwa walafi kuliko maelezo. Wanalindana kwa nguvu zote ili wanayoyafanya yasijulikane na wasiwajibishwe. Ila hii sauti inayolia..inaita kulipa kisasi. Ipo siku mtakuja ona kisasi chake kitakavyokuwa. Naomba Mungu iwe during my life time. Wanatengeneza time bomu, wanalifukia chini ya nyumba halafu wao wanaendelea kuishi ndani. Lazima huo ni ujuha sio akili timamu
Siku CCM ikianguka tu ikashindwa kwenye uchaguzi kikwete, mkapa, mwinyi, na wengine mjue jela iko nanyi.
Hayo ni mawazo yako binafsi na uzushi na kuwa mbabaishaji wa maneno wa hali ya juu. Mbona kuna mbuga nyingi sana zimechukuliwa na watu aina mbali mbali hususan wazungu, tena zina ukubwa maradufu zaidi ya hizo za Loliondo lakini huzisemi? Kwa nini ukweli unaoutaka kuulazimisha uwe wa upande mmoja tu? hizi ndio ''agenda za siri'' tunazozisema kila siku.
Hilo la Dowans linahusu nini? au Dowans wamefanya kosa lipi? ngoja usikie mifedha watakayolipwa ndio mtajuwa kuwa fitina za kijinga siku zote hazisaidii bali zina hasara kubwa kama yale ya wale wa Malaysia, nna uhakika unawajuwa na mpaka leo tunawalipa kutokea puwani. Kwa hayo hayo mafitina ya mijitu kama wewe, mkenda kututia hasara Taifa zima.
Loliondo, nini hasa walichokiiba? nini hasa walichochukuwa nje ya Sheria? nini hasa walichochukuwa wakapeleka nje ya Tanzania? zaidi ya wawekezaji wengine wa kwenye mbuga zingine? Tena ukitazama kwa makini hawa wa Loliondo wamesaidia na kutowa misaada kuliko mwekezaji mwengine yeyote aliewekeza kwenye Mbuga za wanyama.
Wacha hizo za kuleta, kwa sababu tu wawekezaji wa Loliondo ni... na Dowans ni... Utajaza mwenyewe!