Shame for Kenya as JKIA closed again

Option rahisi ingekuwa KIA ambapo ni kilomita chache kutoka Nairobi lakini kwa kuwa Magamba wamekiuwa kiwanja kile hali imebadilika...
 
Nimelalamika sana!!! haki this is the 3rd time napata shida hii haki! tena in 2009 ilikua ile ya siku 3 kabisa. kwa kweli we need an alternative.
 
If the matter is electric power failure, we have nothing to lough at them! The situation at home is probably worse than in Kenya (Minerals and Energy Budget rejection by MPs is a brilliant proof).

Almighty God, for how long will you allow these problems in our land? Father, bless these cursed East African States and the rest of Africa at large, amen.
 
Hii mada yako haieleweki kabisa. Ujue safari ndo zilivyo lolote linaweza kutokea hivyo unaposafiri usiendekeze sana raha. sasa wewe unataka upewe huduma sawa na mtu wa first ama business class?
Haijalishi class, mi nilikata ticket nipewe huduma ya usafiri, sio ticket ya kwenda hoteli. Pili watu wenye ticket ya class yangu walipata a better treatment sababu ya uraia/ngozi yao. Sio mara ya kwanza na note hichi kitu
 
Pole sana..hao ndivyo walivyo, nakusihi uachane nao kabisa..tena kuna ndege nyingine huwa zina conection nao nazo usiwe na tabia ya kuzipanda maana unaweza kukata tiketi ya ndege fulani halafu mwisho wa siku wanakupa kenya airways..inakula kwako
Kwa kweli nadhani ndio kilicho baki: kubadilisha kabisa airline...
 
Nakiri siwapendi wakenya kwa mambo mengi lakini kwenye suala la Airline tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao. Nimesafiri na ndege zao mara nyingi na kimsingi wanatuwakilisha kama largest airline ya East Africa. Kwa mfano hakuna shirika linayo iconnect East Africa na West Africa zaidi ya KQ. Hayo matatizo ya wizi mizigo kwenye mifuko ya wateja ni kitu common kwa Airlines za Africa na nafikiri wanapambana na hilo. Sisi waTanzania tumeua ATC yetu na tumemuacha Precision awe flag bearer

Tujifunze kujiweka mahali pozuri sisi watanzania na si kuwakweza wakenya ambao wanawabeza watanzania kila siku. tuache huu ushamba wa kuwaabudu wageni tujipende wenyewe, wakevya wezi wakuu na usiwaruhusu kwako hata siku 1 utajuta nawajua mno
 
<br>Mi sina shida na wakenya, shida ni kenya airways na Jomo kenyata airport. hayo mengine nadhani ni topic mpya. Kesi langu ni hili: KWA NINI MTU ALIPE HELA YAKE ILI AWAHI KWENDA MAHALI ALAFU MNAAHIRISHA SAFARI BILA KUMJULISHA NA BILA KUMTRANSFERT KWENYE AIRLINE INGINE INAYO ENDA THE SAME ROUTE???<br>Mi nilikua na presentation na mimi mwenyewe ndio napresent. PArticipants wametokea mbali kweli kunikuta kijijini niwaambie kazi tunayoifanya alafu mimi sipo... na hawarudi tena hadi mwakani. Na hapa sija mention Hubby alivyo chukia alipo elewa sirudi leo! kwa kweli najiskia vibaya sana.
 
Pole Dada,lakini unamoyo waustamilivu mie ningemaliziana nao zamani sana,labda iwe nnako kwenda mashirika mengine hayaendi zaida ya KQ, tena afadhali ww umepata hotel shoga yangu alikua anakwenda China nikamwambia chukua Emirates anasema wananipa 40kgs KQ wananipa 50kgs
basi zilimtoka napuani 10kgs alibaki NBO siku moja na nusu, sasa dada mpz wasikupoteze time kama huwaelewi badilisha Shirika.
 
waafrica ndivyo tulivyo
watu wanasafiri na South African airlines, Rwandair, Egypt air, Ethiopian airline, hata Precision Air, Jet link, 540 na kusema ukweli hawa pati shida kama hii airport wala kwa ndege lenyewe. wote hao si waafrika jamani?
Nadhani ni swala la monopoly ya hii airport as the cornerstone ya safari zote kutokea EAC... tabu tupu!
 
Hizo alizokutumia mumeo zinatosha mrembo?
Kama vipi tunaweza kusaidiana pole pole, sisi sote ni binadamu!......................, ukihitaji msaada ni pm please!
 
power failure is not power shortage-i'm sure the situation will be controlled in matter of hours,they are still better off than TZ as far as electricity is concerned
 
NAMTIH!!!!!!!!!!!!!!! Shem on you. It seems you have put this thread in order to normalize people on the ongoing POWER CRISIS in TZ. We have taken note off you, you are among MAGAMBA ! We will never stop complaining and presurizing the Government on Power criss, only on basis of such notions as yours!
 
Hizo alizokutumia mumeo zinatosha mrembo?
Kama vipi tunaweza kusaidiana pole pole, sisi sote ni binadamu!......................, ukihitaji msaada ni pm please!
Kha! kwa nini zisitoshe? si anatuma kile tulicho nacho na mimi mke mwema naridhika na kutosheka nacho? Mbona mnakua na ushawishi mbaya kaka zangu wa JF? hahaha
 
NAMTIH!!!!!!!!!!!!!!! Shem on you. It seems you have put this thread in order to normalize people on the ongoing POWER CRISIS in TZ. We have taken note off you, you are among MAGAMBA ! We will never stop complaining and presurizing the Government on Power criss, only on basis of such notions as yours!

I dont know unamaanisha nini kwa ku normalize people, lakini elewa nia yangu ilikuwa ni kuanzisha discussion kati ya wa-EA kuhusu vishida ambavyo kila siku vina tusumbua ilhali nchi zingine inaonekana wamesha zimanage to the point you hardly ever hear of them.

My hope was to see what alternatives people have to offer, possible solutions, unajua hapa JF kuna ma-engineer, mathematicians, scientists yaani wataalamu wa kila aina, halafu huwezi ukajua pengine kuna jamaa mfanyakazi kwenye mawizara wanasoma JF huenda waka implement our sugestions.

Mkuu usichukulie kila mtu akipost hapa ana agenda, na hata ukishuku uliza kwanza kabla hujahukumu.
 
Haijalishi class, mi nilikata ticket nipewe huduma ya usafiri, sio ticket ya kwenda hoteli. Pili watu wenye ticket ya class yangu walipata a better treatment sababu ya uraia/ngozi yao. Sio mara ya kwanza na note hichi kitu

Halafu na wewe ulivyokuwa huna maana ukakaa kimya bila kudai haki yako ulivyogundua hivyo. Ningekuwa mimi pasingetosha hapo!!
 
Halafu na wewe ulivyokuwa huna maana ukakaa kimya bila kudai haki yako ulivyogundua hivyo. Ningekuwa mimi pasingetosha hapo!!
Haaaaa ndugu yangu, kuna wengi wenye fujo kuliko zako waliambiwa tu rooms za regency na panari zimejaa kwa hiyo wanatumwa kajamba nani lodge. baada ya 2 hours ya ubishi na ugomvi ilibidi wawe wapole tu na wakubali vocha. Mimi hapa nilipo sio pabaya. In fact ningejilipia kwa hela yangu mwenyewe ningekuja hapa hapa. Ni town kati ila hapana fujo na kuna facilities zote za modern hotel. ka 3 star fulani...
 
Hizo kasheshe nimekutana nazo na ile ndege ya waisrael El AR kule Tel Aviv mwaka 2009 na hiyo hiyo KQ tena hapo hapo NBO last year. Nilitaka kuibomoa counter hapo Jomo Kenyata na walinipa haki zangu. Kama Regency imejaa basi kuna hotels nyingine kama Nairobi Serena etc. ingekuwa alternative.
Msikubali kudhulumiwa haki zenu kijinga.
 
Asante mkuu kwa kunishauria. next time ikitokea nitafanya hivo ila nahitaji mazoezi ya nguvu maana mi sio mbishi sana. na kusema kweli hapa sio pabaya sana tu for nairobi. kwa kweli wamejaza serena, intercontinental, hilton, wengine walipelekwa ma six eighty etc. mi niko kati ya hizo za juu na za chini...
 
watu wanasafiri na South African airlines, Rwandair, Egypt air, Ethiopian airline, hata Precision Air, Jet link, 540 na kusema ukweli hawa pati shida kama hii airport wala kwa ndege lenyewe. wote hao si waafrika jamani?
Nadhani ni swala la monopoly ya hii airport as the cornerstone ya safari zote kutokea EAC... tabu tupu!

Pole kwa yaliyokupata. Hii ninaweza kusema ni bahati mbaya wala sio kawaida ya KQ kufanya hivyo. Nina imani walikuwa na sababu ya msingi kufanya hivyo kwani hata wao hawapendi huo usumbufu wa kuwapeleka wasafiri hotelini. Hii ni added cost kwa upande wao. Kuliko kukimbilia kulaumu, ni vizuri ungefuatilia kwa karibu uambiwe ni kwanini safari haikufanyika. Ni vipi ukiambiwa ndege iliyokuwa iwabebe ilipata technical fault na hivyo ilibidi wafix kwanza tatizo kabla hamjaendelea na safari? Kipi bora kwako, kuchelewa kufika huko uendako au kupanda ndege mbovu na ku-risk maisha yako?

Tusikimbilie kulaumu bila kujua undani wa tatizo lililosababisha safari kufutwa!!!!!.

Tiba
 
Back
Top Bottom