shame:ATHUMAN MACHUPA ANATEMBEA NA MKE WA SHAMTE ALLY MCHEZAJI WA YANGA!!

We sema tu umbeya lakini yakikukuta usije kusema usongea wala urukwa badala ya kukemea kwa nguvu zote mna leta ushabiki wa uyanga na usimba
 
Hawa wachezaji watakuja kuuana kwa UKIMWI.
Last time Kaseja na Chuji waliibiana mke kwa style hii hii.
 
hivi kweli unawezaje kulalamika mbele za watu kwamba mkeo anatembea na fulani ??? je kama uko chini ya kiwango unategemea afanyeje?
 
Inawezekana yeye alimuoa huyo mwanamke wakati ana uhusiano na machupa. Tatizo la wachezaji wanaoa ovyo bila kumfahamu mtu tabia zake!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom