Shambulio la wabunge na TBC1 reporting

Ndugu zangu naomba tusiwalaumu sana Tbc kulingana na tokeo lenyewe lilivyotokea,waandishi wengi wali-concentrate na uchaguzi wa Arumeru mashariki,hili la kupigwa mapanga viongozi wetu inasemekana limetokea saa saba za usiku,sasa cha ajabu na kusikitisha sijui walipigwa katika mazingira gani.La muhimu kwanza tumuombe M.Mungu awape uzima na afya njema.lakini tukiendelea kuwalaumu Tbc........sijui itakuaje.
 
Back
Top Bottom