Plot4Sale Shamba / Viwanja vinauzwa Dodoma

Mr. JF

Member
Dec 14, 2015
79
107
Wasalaam wana JF
Kwa heshima na taadhima napenda kuwafahamisha kwamba ninauza shamba langu lililopo eneo la Ihumwa katika manispaa ya Dodoma.
  • Mwenyewe nina heka kadhaa katika eneo hilo, hivyo nimeamua kukata heka 5 kwa ajili ya kuuza.
  • Shamba lipo umbali wa kilometa 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Dodoma na kilometa 23 kutoka Dodoma mjini.
  • Eneo ni zuri na miundombinu muhimu kama umeme na maji ipo na kuna barabara nzuri mpaka shambani.
  • Shamba halipo mbali sana na eneo panapotarajiwa kujengwa nyumba za serikali
  • Ukinunua unapatiwa mkataba safi wa mauziano pamoja na hati halali ya serikali (hati ya kimila)
  • Shamba lote heka 5, nauza kwa Tsh. million 8 tu (maongezi kidogo yapo)
  • Kama ukihitaji heka moja, nitakuuzia kwa Tsh. 1,600,000 na nusu heka 800,000
  • Shamba lipo pazuri sana kama utahitaji eneo pia kwa kilimo cha zabibu, ufuta etc.
Karibuni sana tufanye biashara, wahi umiliki eneo lako ndani ya mji mkuu Dodoma
Kama upo interested, au una mtu anayehitaji eneo Dodoma, wasiliana nami kwa namba hii: 0755 244 741
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom