Shamba linauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Lipo Chanika Sungusia. Lina ukubwa wa heka mbili.Lina miti ya mimea mbali mbali ya matunda kama maembe, machungwa, minazi n.k pia lina aina nyingine za mimea ya mboga mboga. Lipo karibu na shule na hospitali. Lina nyumba ya kutosha kujihifadhi wewe na famila yako ndogo. linauzwa shilingi 12milioni. Unakaribishwa kulikagua maongezi yapo. Unaweza kulipa kwa awamu mbili lakini awamu ya kwanza ispungue 10milioni. karibu tena. kwa mawisiano piga simu 0171114409 au 0784225000.
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    64.2 KB · Views: 107
  • 2.jpg
    2.jpg
    47.8 KB · Views: 147
  • 3.jpg
    3.jpg
    55.4 KB · Views: 119
  • 4.jpg
    4.jpg
    57.5 KB · Views: 116
  • 5.jpg
    5.jpg
    47.3 KB · Views: 106
  • 6.jpg
    6.jpg
    58.7 KB · Views: 114
  • 7.jpg
    7.jpg
    58.6 KB · Views: 117
  • 9.jpg
    9.jpg
    86 KB · Views: 109
  • 11.jpg
    11.jpg
    34.3 KB · Views: 113
  • 12.jpg
    12.jpg
    28.8 KB · Views: 110
lol!litakuwa ghali sana hilo.
mbona kiluvya eka mbili iliuzwa kwa 2.5m?
 
very expensive mkuu, labda mafisadi tu ndio wataweza kumudu gharama hiyo
 
Sikumbuki vizuri, naomba nikumbushwe, hivi chanika sungusia ni km ngapi kutoka dar??
 
Si tunaopenda mashamba....hii kitu imetulia! But I think 8m ndo fair price kwa hili shamba!
 
KILIMO KWANZA na bei hiyo tutafika kweli??, duh.
 
Si tunaopenda mashamba....hii kitu imetulia! But I think 8m ndo fair price kwa hili shamba!

Eka mbili kwa milioni zote hizo,si mchezo mkuu,vipi maji yapo karibu au ndo unafuata km kadhaa.

Mkuu next upo hapo?
 
Hii Chanika ya wapi?Kama ya pugu road hii bei ni kubwa mno, kule bado mashamba bei cheeeee!!
 
Ok bei umeongea wewe acha na sisi tujadili! Mimi ka uwezo kangu cha mlalahoi nitakupa 4M na hako kajumba kako sikataki kabomoe maana bei inapanda na kajumba kako hako. kama umekubaliana na mimi nitumie mail yako.
 
Jamani mbona hamjauliza hilo shamba lina ukubwa gani?

Kitomai, hebu tueleze hilo shamba lina ukumbwa gani.
Maana hiyo ita-reflect cost uliyotoa, na hilo mansion.

Alishasema shamba lina ukubwa wa heka mbili, sasa wewe unataka ukubwa upi tena.

Ila hiyo bei iko too high. Kama utakuli 4.2m tuwasiliane.
 
hizi bei zinakatisha tamaa kwa ss ambao hatujajenga, hivi tutajenga kweli, ndo maaana tunanunua pembezoni mwa mji kusikopimwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom