Shamba linauzwa

kashata

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
528
534
Shamba lenye ukubwa wa heka 3 linauzwa kwa bei ya maelewano.Shamba lipo mwanza maeneo ya usagara mizani na lipo karibu na barabara.Pia ukitaka ununue nusu ya shamba hakuna tatizo.Shamba lipo kwenye makazi ya watu yaliopimwa.Kwa mawasiliano nitwangie 0713 377066
 
Shamba linauzwa tsh mil 12 kwa heka 3 na nusu yake ni tsh mil 5.Karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom