Shamba linauzwa

Mlangaja

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
579
218
Ndugu wana JF
Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa. Shamba hili lipo maeneo ya Msalato umbali wa km 10 kutoka katikati ya mji wa Dodoma. Shamba hili lipo karibu na uwanja mpya wa kimataifa wa Dodoma. Shamba linafaa kwa Kilimo cha karanga, mtama, choroko, mipapai, mbogamboga, mihogo nk. Kimsingi ekari moja inaweza kuzalisha si chini ya gunia 7 -15 za karanga za maganda kwa msimu mmoja wa mvua. Shamba linafaa pia kwa uwekezaji wa shule, hoteli, hosteli nk.
Bei yake ni sh 12m. Kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana kwa simu namba 0785004496 au 0764 526786.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom