Shamba linauzwa

Duuu mkuu mzee MAXMELO yeye anataka kwa eka 20 milion 20 sasa wewe eka 3 kasoro milioni 200 sasa wapi na waspi??Na umefanya hivyo kwa ajili ya umbali au inakuwaje hapo?

Nafikiri hapo wanaangalia na mambo ya location ambayo pia hudetermine market price....ukienda kariakoo kieneo cha chini ya robo eka unaweza uziwa kwa zaidi ya 500m!
 
I see hilo shamba la heka 20 mhusika anakubali kulipwa mara nne kila mwezi robo ya bei?
Labda tuwasiliane ili nikupe namba yake ya simu personally uwasiliane naye huenda mkaelewana katika hilo. Leo mpaka Jumapili anaweza kuwa na nafasi ya kukupeleka mpaka kwenye shamba lenyewe

Asante
 
Vipi usalama wa mazao kwa eneo hilo na hakuna mkakati wa serikali kwa miaka ya karibuni ,maana unaweza baada ya kununua jamaa wakakushukia na makaburasha kibao wakikuonyesha mipaka ya serikali na kuwa tayari kulikuwa na mipango ya kuiboresha sehemu hiyo ,si mnawafahamu wabongo kwa misamiati yaani uweke na milioni nyengine 20 kwa wapita njia wa mikakati.
 
Bado lipo hili wakuu?
Mambo yalipandiana baba mkwe alileta ka-invoice, ilikuwa lazima ni kalipe ndiyo nifanye mambo mengine. Sasa hivi nadhani niko shwari kiasi.
 
Bado lipo hili wakuu?
Mambo yalipandiana baba mkwe alileta ka-invoice, ilikuwa lazima ni kalipe ndiyo nifanye mambo mengine. Sasa hivi nadhani niko shwari kiasi.

M PM max...kama lipo atakuwa in better position kujua hilo!
 
Mfadhili ameomba picha ya hilo shamba na photocopy za hati miliki ziwekwe hapa.
 
Hiyo ni mitaa yangu,eneo la majumba sita ni zuri sana kwa leo na siku za usoni. Pale kuna njia inaingia kushoto kama unakwenda marogoro. Ulizeni unaingia ndani km ngapi? Mambo yanayoendelea huko kwa sasa ni serikali yetu kutafuta eneo zaidi kwa ajili ya uwanja wa ndege wa kimataifa,uchimbaji/utafutaji wa gesi asilia.Ukifika majumba sita uliza mzee mmoja anaitwa Dogori ndiye mwasisi wa hilo jina la majumba sita,huyo anaweza kukwambia kila kitu kuhusiana na mipango ya serikali. Naye ni mtoto wa mjini pia,angalia.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom