shamba linauzwa

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
haya ndugu zangu,ni shamba langu mwenyewe,kila kitu kipo,linapatikana maeneo ya vigwaza ruvu,zipo ekari kumi kama unahitaji uni PM
 
haya ndugu zangu,ni shamba langu mwenyewe,kila kitu kipo,linapatikana maeneo ya vigwaza ruvu,zipo ekari kumi kama unahitaji uni PM

Kama kila kitu kipo basi hapo sio shambani !!!!!!!

Vitu muhimu kwa shamba ni hivi, maji,barabara,manpower,udongo wenye rutuba,usalama. Sasa kama vitu hivi vipo basi tupe majibu.
 
Back
Top Bottom