Chimbuvu JF-Expert Member Jul 17, 2012 4,401 2,333 Aug 9, 2012 #1 Shamba linauzwa lipo maeneo ya shibura wilaya ya ilemela,lina ukubwa wa ekari moja,halijapimwa bado,bei tsh 3,000,000/-
Shamba linauzwa lipo maeneo ya shibura wilaya ya ilemela,lina ukubwa wa ekari moja,halijapimwa bado,bei tsh 3,000,000/-
Chimbuvu JF-Expert Member Jul 17, 2012 4,401 2,333 Aug 9, 2012 Thread starter #3 Kutoka Airport kuelekea nyamwilolewa ndio unafika shibura,ama baada ya buswelu ndio panafuata shibura,
Kutoka Airport kuelekea nyamwilolewa ndio unafika shibura,ama baada ya buswelu ndio panafuata shibura,
alphoncetz JF-Expert Member May 1, 2011 280 50 Aug 9, 2012 #4 Mh! Kwa maeneo hayo hako kabei ni tata kidogo! Kama ni heka moja fika mil mbili tuongee biashara
Chimbuvu JF-Expert Member Jul 17, 2012 4,401 2,333 Aug 9, 2012 Thread starter #5 Ukiwa serious buyer nipm ukiwa tayari ukalione,hiyo ni bei ya kuanzia tutaongea tu mtu wangu,am the owner.
Ukiwa serious buyer nipm ukiwa tayari ukalione,hiyo ni bei ya kuanzia tutaongea tu mtu wangu,am the owner.