heka moja kwa milio 10 unauza?
ngoja niwahi bagamoya nasikia viwanja 350,000/=
mo data/details please
Sawa...ila kwa bei hiyo...utapata karibu na pangani...good luck
Mita sitini toka mto?Mkuu unamaanisha Mto Pangani?
NI madale au Goba? Hebu fafanua vizuri ili tuipate location vizuri.2 acres for Tsh 30m..serious buyers only
Angalia usije ukarogwa uko. Maana bagamoyo Mhmh Mhmh?ngoja niwahi bagamoya nasikia viwanja 350,000/=