Shamba linauzwa, lipo kibamba -- kiluvya dar es salaam

MWAKIGOBE

Member
Nov 1, 2010
65
2
Shamba hili lina ukubwa wa hekari tano, pia lina faa kwa ujenzi na barabara inafika vizuri. Bei yake ni 20,000,000/-.tu za kitanzania.
Mawasiliano 0719646407,
0713802507.
 
Mkuu nusunusu haliuzwi say hekari moja? vipi habari za mipango kiji halipo kwenye plan yoyote?
 
Shamba hili lina ukubwa wa hekari tano, pia lina faa kwa ujenzi na barabara inafika vizuri. Bei yake ni 20,000,000/-.tu za kitanzania.
Mawasiliano 0719646407,
0713802507.
umbali gani toka barabara kuu ya lami?,umeme nao uko umbali gani?
 
umeme upo karibu kwani kuna watu wameisha jenga na wanaishi. ni umbali wa km 5 kutoka barabara ya lami, hata kwa hekari moja unaweza kukatiwa! maelezo zaidi piga no 0719646407.
 
Kibamba na Kiluvya ni maeneo mawili tofauti. Shamba hilo liko Kibamba au Kiluvya? Tafadhali eleza ni upande gani wa Morogoro road-kushoto au kulia, sema wazi umeme/ upo ukaribu kiasi gani-kadiria KM. Niko interested lakini ni muhimu ukaeleweka wazi zaidi ktk forum hii kabla sijapoteza muda wangu na resources zangu kukupigia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom