Shamba linaitajika morogoro road!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Linaitajika Shamba morogoro road kwa ajiri ya mifugo maeneo ya kuanzia Mlandizi kuja mpaka Kibaha.
Ukubwa ni kuanzia 5-10acres.
Normal price please.
Serious sellers only.
 
Kuna Ekari 20 Kiluvya Utondoroni @ Milioni 5 kwa Ekari. Mazungumzo kidoogo yanawezekana. 0754 340606
 
Kiluvya iko Dar au pwani?na vp usafiri mpaka kufika shamba?but the price still too much expensive.......by the way nijulishe kwanza then tutaongea kuhusu bei.
 
...Ukitoka Kiluvya unaingia Kibaha. Shamba lipo about 4 KM kutoka barabara Kuu ya Morogoro Road/ Barabara Ipo Kwa sababu kuna Shule unapita kwenda huko. with Bajaj ni kama 10 to fiteen minutes. Karibu.
 
Ok,ntakucheki weekend inshaallah ili tu-discus.

!
 
...Ukitoka Kiluvya unaingia Kibaha. Shamba lipo about 4 KM kutoka barabara Kuu ya Morogoro Road/ Barabara Ipo Kwa sababu kuna Shule unapita kwenda huko. with Bajaj ni kama 10 to fiteen minutes. Karibu.
nikitaka heka moja napata?
 
Unashamba la ukubwa wa kiasi gani?
Kuna mtu anaitaji shamba la pamoja heka 15.

...Salamu Mkuu Mandieta. Shamba lina Ekari 20 Kiluvya Tondoroni. Kila Ekari @ 5 Millioni. Nimeandika hapo Juu Mkuu.
 
Kiluvya iko Dar au Pwani?na bei mbona iko juu?jee miundombinu ya barabara na umeme vp?
Lina hati?
I have a serious buyer na amesema kama maelewano yatakua mazuri nikuunganishe nae.But we need to talk about price na kuna uwezekano akalichukua lote in the end of next month atakapo kua anakuja kutoka ughaibuni.
Naku pm right now,jamaa atachukua lote real.
 
Nilisikia maeneo ya Kiluvya Tondoroni yana matatizo na JWTZ linasema ni mali yake. Mnaotaka kununua huko mjiridhishe kabla ya kununua kesi na JWTZ.
 
mkuu nami pia nilisikia mzozo huo mpaka uendelezaji ulisitishwa. cha msingi kuwa na tahadhari ya juu unaponunua maeneo hayo ili kuepuka mgongano na geeeshi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom