Shamba Lenye Miti Ya Mbao yenye miaka miwili Linauzwa

Oct 18, 2016
28
4
Lipo umbali wa kilometers 13 kutoka Barabara ya lami
Linauzwa million 25 zipo hekali 52
Linapatikana njombe ktk kijiji cha iboya
Kwa mawasiliano zaidi npigie 0764426929,0655726929 na whatsap 0742188846
Badilisha maisha yako kwa kilimo cha miti ya mbao
 
Asante comrade kwa taarifa, naomba lakini kujua tu kiasi cha uelewa, bei ya mti mmoja wenye umri wa say miaka 6 inaweza kuwa shilingi ngapi? Na kwa heka hukaa miti mingapi? Asante
 
Asante comrade kwa taarifa, naomba lakini kujua tu kiasi cha uelewa, bei ya mti mmoja wenye umri wa say miaka 6 inaweza kuwa shilingi ngapi? Na kwa heka hukaa miti mingapi? Asante
Miti kwa heka hukaa 540 na mti wa miaka 6 bado hsijafikia kiwango cha kupasua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom