Shamba la miwa la bagamoyo na athari zake

haki na usawa

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
481
135
Naomba kujuzwa juu ya shamba la miwa mwekezaji kakimbia kwa kushindwa gharama na lengo ilikuwa awe anauza nje lakini uendeshaji umemshinda na sasa kuna kampuni mama toka Maurit..

Na inachukuwa fursa hiyo lakini ikataka eneo kubwa zaidi na kibaya zaidi wananchi hawajui juu ya mabadilishano haya na pia ongezeko la eneo linalohitajika na pia serikali inataka kuwekeza kama asilimia 25 lakini wenye maeneo hawajui je ni haki? Au ndo kuwapa wawekezaji kila zuri na kuwafukuza wananchi katika mashamba yao na maeneo yao ili kumpisha mwekezaji?

Je wananchi wasubiri kunyanyaswa kama wa Mbarali-Mbeya? au wafanyaje kuzuia kunyang'anywa maeneo ili kumwongezea mwekezaji?
 
Wewe unauliza wananchi wafanyeje!, haya tueleze serikali ifanyeje ili justice itendeke na wananchi wapate maendeleo.
 
Let's get our politics right kwa kuendelea kuwa na ccm madarakani tegemea utumbo mwingi sana nchi hii
 
Back
Top Bottom