Shamba la hekta 30,000 zinahitajika kununuliwa. Kuanzia maeneo ya kibaha mpaka mkoa wa morogoro

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
.
Shamba linahitajika kununuliwa haraka kwa ajili ya shughuli za kilimo, liwe kuanzia maeneo ya Kibaha mpaka kuelekea Mkoa wa Morogoro. kwa yeyote mwenye nalo au mwenye taarifa za kuwezesha kupatikana kwa eneo hilo, tuwasiliane kupitia email hii: info@kitomai.com au simu 0784225000 au 0717114409.
 
hivi Tanzania ina jumla ya ukubwa wa hekta ngapi? isije ikawa unataka kununua nchi yetu kidogo kidogo.
 
Nenda TIC, hizo ni zaidi ya ekari 60000, humu JF utadanganywa na kupotezewa muda.
 
Watanzania wasipoangalia, watanunuliwa kimya kimya. Wewe utanunua kama eneo la kilimo sasa, litageuzwa eneo la makazi baadaye. Pengine hata usilime, utaliacha hadi hapo utakapoanza kuuza kidogo kidogo. Hongera kwa kuwa na upeo wa kuona mbali maana miji yetu inakua, lakini una nia ya kuwapola Wadanganyika. Tazameni Watz.
 
Nenda TIC (Tanzania Investment Center) kuna mpango wa "Land Bank" umeanzishwa. Na hapo utapata utaratibii wote na maeneo yalipo mashamba ya uwekezaji wa kilimo. Usitafute mitaani kuna uwezekano wa kuingia mkenge wa matapeli, wa kukiuka sheria, na mengine mengi.

Fungukeni, Tanzania ya leo si ya zamani fata hi link kwa maelezo zaidi: Welcome to Tanzania Investment Centre Website
 
Back
Top Bottom