Shamba la ekari 20 linauzwa kiluvya tondoroni

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,032
3,944
Shamba la ekari 20 linauzwa Kiluvya Tondoroni. Eneo ni Tambarare na lina miti michache ya Miembe. linafaa kwa ujenzi wa Shule, Vyuo nk. Bei shilingi Milioni 4.5 Kila Ekari. Mawasiliano: Mobile 0754 340606 / 0654 340606
 
Mkuu. kiwanja kiko eneo gani la Tondoroni? Ni baada ya Sekondari za Thomas More na Eberneza au kabla, Vipi haliko ndani ya eneo la Jeshi? Ni umbali gani kutoka Morogoro road?

...Pole Mkuu kwa kuchelewa kukujibu. Mihangaiko! Sina hakika ulikuwa unataka jina la eneo kwa maana ipi ila eneo lotelilipo shamba/kiwanja ndio linaitwa tondoroni. Ni kupita shule za Thomas More na Eberneza. No, ni mbali sana na eneo la jeshi. umbali kutoka Mor Road ni wastani wa kilomita 4/5. Bodaboda inatoza shs 2000. Karibu mkuu upate kiwanja watu ndio wanajenga huku sasa hivi!
 
Back
Top Bottom