Shamba KUBWA LINAUZWA IRINGA.

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
141
Shamba kubwa lenye ukubwa wa ekari 300 linauzwa liko wilaya ya Njombe, kata ya Kifanya kijiji cha IHANGA.
Bei ni sh. 60000/= kwa ekari.

Simu: 0767122662/0654047387
E-mail: dr.andersonds@yahoo.com
 
ekari hizo 3000 mahindi nitaweza kuvuna gunia ngapi?
kuna mto karibu hapo?maji ya kumwagilia?
umbali mpaka barabarani?
 
ekari hizo 3000 mahindi nitaweza kuvuna gunia ngapi?
kuna mto karibu hapo?maji ya kumwagilia?
umbali mpaka barabarani?

Kasema lina ukubwa wa ekari 300 na sio 3000. Kwa bei aliyotaja, ina maana kulinunua lote unahitaji milioni 18. Si bei mbaya, ila inabidi mtu uwe tayari kuishi kijijini Ihanga. Na hilo sio rahisi. Tuliozoea kukaa mjini kwenye umeme (wa shida) na maji (ya shida), sio rahisi kuhamia vijijini. Na kuliendesha toka Dar ni kijitakia hasara.
 
kwa uzoefu wako eka hizo 300 unaweza vuna mahindi kiasi gani?

bei mbaya,?bei nzuri ingekuwa ipi hapo?
 
kwa uzoefu wako eka hizo 300 unaweza vuna mahindi kiasi gani?

bei mbaya,?bei nzuri ingekuwa ipi hapo?

Nimesema bei SI mbaya. Naomba usome taratibu. Uzoefu wa kilimo sina; ila nitaupata siku za karibuni (natarajia kulima, on a tiny scale).

Kama kweli unapenda kuanzisha kilimo, on a medium scale, then this baby is for you. Ukubali kuishi kijijini lakini. Na mwenye mali hakupenda kusema umbali toka mjini (kama Njombe ni mji), kwa hivyo usitazamie uwe wa mjini tena.

Usipime uvunaji kwa magunia, tumia tani. Tuwaulize wataalamu hapa kilimo cha kisasa cha mahindi kwenye ekari 300 kinaweza kuzalisha tani ngapi kwa mwaka. Watajibu, in their own good time.
 
Duuu mkuu Ihanga, ndo bei zinazotembea sasa? Ni karibu na Kilocha seminary, sio? Shamba kwa sahivi lina mazao gani?
 
Huyu boss leo kalewa futari ya kualikwa? mara aseme eka 3000 wakati imeandikwa 300, mara aseme bei mbaya wakati mtu kasema si mbaya. Duhh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom