Shamba ekari 6 linauzwa Kibaha kwa mathias

Mtotigite

Member
Aug 11, 2009
40
3
Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa kibaha kwa mathias kilometa moja kutoka morogoro road ni eneo flat linafaa kwa kujenga yard,shule au matumizi mengine kwa anayehitaji wasiliana na Swedi 0654085257
 
Shamba ekari 6? Kibaha kwa Mathias halafu just one Kilometa from Morogoro road? Sema shamba hilo lipo eneo gani kwa usahihi ili tukalione, Kwa uzoefu wangu inatia mashaka makubwa sana na ni vigumu sana hivi leo ukupata eneo kubwa kama hilo karibu na Morogoro Road labda kama unataka kuuza eneo ambalo lipo wazi la marehemu Mzee Mathias mwenyewe, anyway lete info zaidi ili tukutafute mapema kabla kina Papa Msofe hawajavamia
 
kuweni makini na hawa waiza mashamba, majuzi kuna mtu kalizwa milion 11 kauziwa shamba feki, mtu katengenezewa majirani feki na balozi feki
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom