Shallom Shallom.

EBENEZA MT

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
264
50
Ndugu zangu amani ya Mungu iwe nanyi nimefurahi kuwa kwenye jamvi hili naamini mtanikaribisha.
 
Karibu sana ila hapa tunataka mambo ya maana yenye kujenga utapata marafiki wa kutosha micharuko humu sio sehemu yao
 
Hata sasa Bwana anatusaidia....hilo jina tu!
Karibu kaka....
 
Ohhh! Glory to God! Nafurahi sana kujumuika na wapendwa wa mungu jamvini, Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha sana Ebe!
 
Back
Top Bottom