Shairi (la kubuni)

siwezi kukupa jibu, wapi nilipopatia
labda kwenye ulabu, akili zilipotea
ushauri wa tabibu, kinga nilitumia
Ndugu tusiwatenge wagonjwa wa UKIMWI


Hebu acha kujikosha, ulikopata wajua
ulichezea maisha, na sasa unajutia
hili gonjwa linatisha, tena pia linaua
kama nilivyokuusia, njoo kwa Yesu upone
 
Back
Top Bottom