Shahada za heshima UDOM na IDM-Mzumbe...wasoma siasa au....

Nashukuru nilimekata mdogo wangu kwenda pale UDOM angalau ss yuko chuo cha wahindi akabishane na wanaojua kufundisha kuliko hawa wanaofundisha kukua tu,we sbilingi baba yako anafundisha nini huko UDOM?maana umeandika pumba tu uwe unapiga mswaki kabla hujaja humu kutoa ushuhuda wako wa kinafiki.degree za kudesa ss hatuziitaji nawaonea huruma graduate wa pale wanakuja huku mahofisi hata hawa wa IT hadi unamuonea huruma miaka 3 for nothing hata kutumia server hajui.
Hii imenifanya niwakumbuke wahindi walionipa degree ya ukweli kuwa walitunyanyasa sana kwao ila wanahakikisha unatoka na kitu kichwani sio unarudi home uko kama ulivyokuja,pambafuuuuuuuuuuu!
 
Hii imenifanya niwakumbuke wahindi walionipa degree ya ukweli kuwa walitunyanyasa sana kwao ila wanahakikisha unatoka na kitu kichwani sio unarudi home uko kama ulivyokuja,pambafuuuuuuuuuuu!

Tallies with my thinking in many ways..........................
 
Huyu bwana baada ya "kusuluhisha" wakenya alipewa digrii ya hishma na chuo kikuu cha Kenyatta. Kigezo kilikuwa mchango wake kwenye kumaliza kadhi hiyo huko kenya.

Ninavyoelewa wasuluhishi walikuwa wengi wakiongozwa na Koffi Annan, Benjamin Mkapa ( immediate ex pres, TZ) Graca Machel just to mention a few. mwenye kumbukumbu naomba anikumbushe ni kina nani wengine kati ya hao au wengine wakiokuwa instrumental kwenye hilo walipewa honorary kama rais wetu?

Anyway wakati anapewa hiyo Honoris causa sehemu ya nchi anayotawala ilikuwa na matatizo kama Kenya na mpaka anamaliza kipindi cha kwanza cha utawala wake wahusika wenyewe waliamua kuondoa difference zao. Wakati anaanza kipindi cha pili cha uongozi wake wabunge wa opposition wame storm out wakati anahutubia ikiwa ni ishara kubwa ya vyama viwili vikubwa kutoelewana.

Swali jee bado anastahili kuendelea kuwa na digrii hiyo, kwani inaonekana ameshindwa kuweka katika uhalisia yale aliyoyafanya Kenya????
 
Sura nyingine ambayo yaweza kusomwa ni ya udini hasa katika kipindi hiki ambacho
udini unatajwa mara kwa mara.......................Prof. Kikula ni muislamu na JK na Kawawa ni waislamu......sas sijui nalo hili la udini limechangia hapa.............



Nawe sasa unaongeza katika 'idadi ya kulitaja mara kwa mara' ingawa unakiri wazi kuwa hujui kama ni sababu! - allegata dubii error
 
Siasa imechakachua kila kitu bongo na hayo ni madhara ya katiba iliyopo inayompa rais madaraka makubwa hasa kwenye uteuzi wa wakuu wa vyuo na idara nyingine za serikali. Na hiyo inawafanya wasomi wajipendekeze kwa watawala na kuacha kabisa taaluma zao, mfano REDET ilivyochakachua utafiti wake wakati wa kampeni kwasababu ya uhusuano wa Dr Bana na Prof Mkandara kwa JK! Wasomi uchwara wa bongo ni njaa zinasumbua na wengine wanaendekeza udini unaoenezwa na Jakaya Kikwete. Hivi karibuni aliwateua wabunge watatu wote waislam wenzake na KKK (Kikula, Kikwete na Kawawa) wote ni waislam! Udini tu hapo!! Halafu kwa mchango upi? Wasiishie tu kusema wanawaenzi kwa mchango katika chuo hicho? Upi?? Wekeni vigezo bayana!!!! Ningekuwa mimi ndio muenziwa ningekataa na kuwataka waniambie vigezo walivyotumia!! Sipendi sifa nisizo stahili!!!!
 
Back
Top Bottom