Shaffih dauda hana kazi nyigine ya kufanya?

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Mbona kila siku yupo redioni,wakati wanzie wanapumzikaga!:A S-rap:
 
Aliacha kazi ya bank teller pale twiga ili ajikite kwenye kazi aipendayo.
 
sasa hiyo si ndio kazi? ama afanye nini tena jamani! nafikiri anapaaswa kupongezwa kwa kuwa muwajibikaji bora, na anayejituma kwa ajili ya taifa lake.

nafikir umekosea heading pengine ingeleta maana zaid kama ingesomeka 'shafii dauda hana muda wa kupumzika?' nisamehe sana mkuu.
 
Hivi aliacha kazi pale Twiga Bank Corp?duu kweli anapenda sana utangazaji wa michezo
 
Aliacha kazi ya bank teller pale twiga ili ajikite kwenye kazi aipendayo.

Kwajinsi nilivyoupima uwezo wake wa kufikiria na kuchanganua mambo alifanya busara sana kuiacha ile kazi ya u'teller mana'ke angekuwa anakula shoti(deficits) kila siku iendayo kwa MUNGU...hamna kitu pale,samahanini Fans wake.
 
Kumbe alikuwa bank teller ndo mana sababu uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana halafu ata huo u teller pia alikuwa anafanya kwenye bank ndogo (TWIGA) No challenge yani anaongeaga utadhani kazaliwa brazil tena familia moja na PELE kumbe ni jamaa wa UAMSHO pale mchambawani ZENJ ngoja tuukatae muungano arudi kwao akafanye azichambue KMKM,MIEMBENI,SHANGANI na MCHAFUKOGA FC.
 
Uandishi wa habari ni tasnia yenye heshima sana...hata Rais wako wa awamu ya tatu alikua mwandishi wa habari...
 
Kumbe alikuwa bank teller ndo mana sababu uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana halafu ata huo u teller pia alikuwa anafanya kwenye bank ndogo (TWIGA) No challenge yani anaongeaga utadhani kazaliwa brazil tena familia moja na PELE kumbe ni jamaa wa UAMSHO pale mchambawani ZENJ ngoja tuukatae muungano arudi kwao akafanye azichambue KMKM,MIEMBENI,SHANGANI na MCHAFUKOGA FC.

Kumbe mu-Unguja huyo?
 
Back
Top Bottom