Nilipatwa na furaha nilipo sikia kwamba twiga mwenye sifa ya kipekee ana patikana hapa Tanzania na kwamba ana uzito wa zaidi ya tani mbili wakati yule wa kawaida ana tani moja na kilo mia mbili tu, ana urefu wa futi 22 wakati yule aliye wahi kushika rekodi ya dunia akiwa na futi 17, lakini licha ya uzito wake huo bado ana uwezo wa kukimbia kwa wastani kilomita 80 kwa saa wakati yule wa kawaida ni kilomita 50 tu kwa saa. Sasa kiu yangu ni kwamba kama twiga huyu yuko hapa Tanzania je jina hili la Shackie lina maana na asili gani maana silipati kwenye mazingira
yetu.
yetu.