Shabiki maarufu wa man united afariki

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Kuna tetes kua Osama Ole Laden alikua mshabiki mkubwa wa Man United ali maarufu Mashetani wa Kijani (gamba).Alisema wakati wa fainali ya Uefa Maniu itashinda ila sasa hayupo.Kwa niamba ya JF tunawapa pole Maniu kwa kumpoteza shabiki yao mkubwa na anayezidi umaarufu wa babu wa loliondo kwa sasa
 
Yule mi nitamani ningetia mkononi mwangu bila shaka hata huo utabiri ningemwuliza nani amemwambia atabiri. Kwnn asijitabirie kufa kwake. Shenzi sanaaa!!
 
Tatizo ni ubishi wake wezie walishtukia mapema wakajivua gamba ila yy akawa mbishi!!
 
Kuna tetes kua Osama Ole Laden alikua mshabiki mkubwa wa Man United ali maarufu Mashetani wa Kijani (gamba).Alisema wakati wa fainali ya Uefa Maniu itashinda ila sasa hayupo.Kwa niamba ya JF tunawapa pole Maniu kwa kumpoteza shabiki yao mkubwa na anayezidi umaarufu wa babu wa loliondo kwa sasa.
kwenye red.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom