Shabani mlacha aondolewe udom

Hapa shabani haondoki na mwaka 2015 tunamchukulia lowassa fomu za kugombea uraisi
 
hii maada ya UDOM siipendi kabisa....Yaani nyinyi wenyewe ndio mlimchukulia Fomu za kugombea urais JK.Sasa mnapayuka nini! Vumilieni hayo matatizo mpaka 2015. Na Mtalijua jiji!

we shoga una uhakika ni kweli wanafunz wa Udom walimchangia jk au ni vibaraka wachache wa ccm,.acha ushoga ww kuwa na uhakika na kitu unachokisema
 
patty,unakoment kwa jazba tena kipumbavu, kama wewe ni mwana UDOM na huhusiki katika kumchukulia rais fomu za kugombea urais ni kwanini wakati huo hamkukanusha kuwa udom haihusiki? Leo ndo unajifanya kuiondoa udom kwenye saga. For u r info huyo mpare munamuandama bure, chuo chenu hakijaletewa fedha kwa kuwa fedha nyingi zimetumika kwenye uchaguzi na serikali haina hela, ukweli ni kuwa hizo tume zilizoundwa ni delaying tactic huku govt ikitafuta fedha. Huyo DVC-admn and finance hamuwezi kumuondoa kamwe kwa kuwa kwa sasa hana kosa wala kauli. Fumbueni macho muone ukweli na muache utoto kwani wanafunzi na walimu wa UDOM wote bado mna uelewa mdogo wa issues.

we shoga ndo una uelewa mkubwa au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom