THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
1.Wewe mbona umeshaligusa.Nilifikiri hata wewe ni great thinker.Mi mara nyingi huwa nawashangaa mnaojiita Great thinker,kwani kuna tofauti gani mchaga kutumia milion kumi akisherekea xmas rombo na ndgu zake ambao hat secondary hawajagusa na nchi yenye watu zaidi ya 40mil?,nyie wenyewe kila mwaka mnafanya birthday zenu za zaidi ya 70 elfu na hili khari bado hamja timiza mahitaji yenu yote ya kifamilia iweje gvt isisherekee 50yrs kwa Bs?ok anaway this is a demothinking ground.
2.Jaribu kuongeza umakini kwenye kuchambua hoja.Hapa unachanganya matumizi ya fedha za umma na za mtu binafsi.