Elections 2010 SFO yakanusha Taarifa ya PCCB! Suala la Chenge bado halijaisha!

Chenge hata kama atakuwa cleared bado anatakiwa awaambie Watanzania:

1. $ 1.5 M alizitoa wapi?
2. Consultancy Fees na Personal saving anf Family Heritage anazodai ndo zimempatia hizo pesa ni zipi?
3. Kwa nini alitumia madaraka yake vibaya kuwaweka watanzania katika risk kwa manufaa yake tofauti na matarajio
4. Ameongea nini na PCCB wamemsafisha wakati Mdumange ndo kwanza unaaanza?

hata akitaja/akiproove alikozipata,bado kuna uhakika kuwa hakuzitaja kwenye fomu ya maadili ambayo aliijaza wakati ameukwaa uwaziri. bado ni mchafu sana huyu mzee hata akioshwa kwa hiSOAP ya PCCB. ilikuwa pCB wakasema haina meno ya kung'ata mapapa ya ufisadi,leo ni pccb bado haing'ati..haitashangaza kuona wanataka waiite PPCCCCBB ili ijaribu kung'ata. shame on them!
 
Give us the source of your story and respective date....

story yako inaweza ikawa ni ya 2006 UMAKINI kabla ya kupayauka please unatutia mzuka
Ebu kuwa makini tafadhali.

Kichwa cha habari kiko bayana ni kuhusu tamko la PCCB la tarehe 10.11.2010. Sasa hiyo 2006 inatoka wapi? Unaonesha unaanza kupatwa kiwewe!!! Presha inapanda presha inashuka. Chenge alipopiga mzinga bila kufikiria jinsi atakavyojisalimisha kutokana na mashambulizi ya nyuki pindi wakitoka. Sasa moto umewaka. Je atauzima????
 
Its time for Hosea to gooooo.....JK inatosha sasa kumuweka tuu na kumfugaa tu huku Mungu mdogo.....
 
Du, PCCB wamechemka vibaya sana.

Any response from msemaji wa PCCB aliyetoa taarifa ya kumsafisha Vijisenti ?
 
Du, PCCB wamechemka vibaya sana.

Any response from msemaji wa PCCB aliyetoa taarifa ya kumsafisha Vijisenti ?

Kama kawaida yao wanaupika uongo, subirini majibu yasiyokuwa na kichwa wala pua. PCCB mnatia aibu.
 
Sasa PCCB watoe kauli nyingine kujifafanua kuwa "walimaanisha" nini...

Mwanakijiji na wengine,
Binafsi niliacha kufuatilia upuuzi wa PCCB tangu sakata la RICHMOND, Hosea ni Swahiba wa kina CHENGE na Lowassa, hawezi kwenda kinyume na Matakwa yao, kwani kunaTofauti gani wa sakata la Richmond na Hili, si alisema hadharani kuwa hakukua na utata katika Taratibu na wala hakukuwa na shaka kuwa ile ni kampuni ya KITAPELI.
MNAKUMBUKA alivyomzushia mgogoro Dr Mwakyembe , ili tu awanyamazishe wabunge wanaohoji maswala ya uwajibikaji wake.
Hosea si Mzalendo, Hosea ni mnyama wa kimaadali, ni mtu mwenye utu wa kujilimbikia mali, na mara hii anaenda kuumbuka tena.
 
Mwanakijiji na wengine,
Binafsi niliacha kufuatilia upuuzi wa PCCB tangu sakata la RICHMOND, Hosea ni Swahiba wa kina CHENGE na Lowassa, hawezi kwenda kinyume na Matakwa yao, kwani kunaTofauti gani wa sakata la Richmond na Hili, si alisema hadharani kuwa hakukua na utata katika Taratibu na wala hakukuwa na shaka kuwa ile ni kampuni ya KITAPELI.
MNAKUMBUKA alivyomzushia mgogoro Dr Mwakyembe , ili tu awanyamazishe wabunge wanaohoji maswala ya uwajibikaji wake.
Hosea si Mzalendo, Hosea ni mnyama wa kimaadali, ni mtu mwenye utu wa kujilimbikia mali, na mara hii anaenda kuumbuka tena.



DUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!:tape::tape::tape::tape::tape::doh::doh::doh::doh::doh:
 
I am completely shocked! If this story is true then Hosea ought to resign.
 
Na nyie SFO mbwembwe kibao kumbe NYOKA LA KIBISA...mlikuwa wapi siku zote,kwendeni zenu huko..
 
Mimi sipo NA NYINYI KABISA KWA KUWALAUMU PCCB!

Wa kulaumiwa hapa ni Sinior wake ambae KWA ASILIMIA 1,000,000 ndio mwenye nguvu za kumuwajibisha lakini yuko kimya!!! msiilaumu PCCB, kwani hiki KIBURI kinatoka wapi?? kwa mdogo wa madaraka ya HOSEA?? kwani muhasibu wa PCCB ndo anampa HOSEA KIBURI!!! kujiongelea tu anachotaka??? Mlinzi wa PCCB ndo anampa kiburi HOSEA cha kuongea maneno ya HOVYO HOVYO KIIIILA SIKU !!!

Ni huyu kiongozi dhaifu anaecheka cheka ndo chanzo cha yote haya!!!!!!!!!!! HOSEA na mimi ninakusaport CHENGE HANA HATIA !!!!!!! kwani nani atawanijibisha!! Hii inchi HAMNA KITU.Mlaumuni aliye muajiri hosea!!!!! Naomba mungu siki PCCB ikawa chini ya bunge sio kwa RAISI ( ananweza akawa mwehu) mtaona matokeo.

HOSEA NAKUPA TANO ENDELEA KUTUCHANGANYA TUU HATUNA WAZAZI NA HATUJUI CHOCHOTE SIYEEEEEEEEE sema baba Ila mimi nammaindi sana KIKWETE
 
Naomba wale wataalamu waitume hii kwa Michuzi na Mjengwa manake kule ndipo wazee wa CCM wanatembelea kila siku..... Hawa viongozi wetu ni wahuni, nimekubali maneno ya Ulimwengu kuwa CCM imeajiri wahuni.
 
Pamoja na kuwa un-credible bado wataendelea kuwepo katika nafasi zao,hivi nchi yetu viongozi watawajibika lini? Na Raisi wetu ataendelea kumwacha tu,kwanini usimvue madaraka?where are we going???is this the country I call Tanzania?:A S-baby:
Ni lini PCCB ilikuwa credible, Richmond ilitosha kuonyesha kwamba they are not credible, not serious and absolutely reckless!
 
Back
Top Bottom