Elections 2010 SFO yakanusha Taarifa ya PCCB! Suala la Chenge bado halijaisha!

Wakuu hii PCCB ni upuuzi mtupu. nadhani hawa ni majizi wengine ambao wanakula hela zetu kwa mgongo wa hiki kitengo! ni aibu sana Hossea kutoa kauli kama ile halafu bado analala na kutembelea gari la umma. jamani si tuitishe maandamano/ semeni kweli tulianzishe
 
shame, shame, shame, shame, shame.... SHAME, SHAME, KWA RAIS, PM, HOSEA, AND ALL TERMITES DESTROYING OUR COUNTRIES

TUMEFIKIA KUTETEWA NA SFO... I FEEL LIKE DYING
 
PCCB+Hosea= Kikwete=NEC= Mahakama zote Tanzania= Jeshi la Wananchi+ Shimbo= Jeshi La Polisi
 
Kwenye hii statement mimi naona sio relevant sana kuhusiana na case imesisha au haijaisha kule UK. Kilicho muhimu kuliko yote ni kwamba SFO hawajasema mahali popote kwamba Chenge hana makosa. Hata mahakama ikiridhia makubaliano yao, bado Chenge na Idrisa wana case ya kujibu Tanzania.

Nilivyoelewa hiyo statement ni kwamba BAE imekubali kulipa faini ili isilazimike kutoa ushahidi mahakamani juu ya hao waliohongwa pesa. Kwa wao SFO wamemaliza kazi yao. Lakini kwa Tanzania, ilitakiwa PCCB waanzie hapo kuwachunguza na kuwachukulia hatua hao waliohusika hasa Chenge na yule Rashid Idris.

Ile taarifa tu ya kwamba hao jamaa wana mabilioni nje ambayo si ajabu hayajalipiwa kodi ya TZ wala hawaja declare kwenye tume ya maadili ni sababu tosha za kuwachukulia hatua.

Kwa ukweli huu PCCB imejiangusha sana kutoa ile statement ya juzi.

Mimi nilivyosoma statement ya PCCB nilifikiri SFO wamewaambia PCCB kwamba wamechunguza na wamegundua pesa za Chenge hazikutoka kwenye radar. Hii ya kutokuendelea na case haiwafanyi akina Chenge na Idris blame-free.

CCM walifanya makosa makubwa sana kumruhusu Chenge kugombea ubunge na ataendelea kuwatesa kwenye public opinion.
 
Credibility ya PCCB ni 100% wanapodili na wabaya wa mafisadi. Nadhani mnakumbuka wakati wa mchakato wa ccm. PCCB ikabadilika kabisa katika mchakato wa uchaguzi. You know why! Ni ccm ndio walikuwa watuhumiwa wa kumwaga rushwa. PCCB nawafananisha na wale mbwa wa security group wanaofungwa vyuma midomoni. Kwa ufupi PCCB ni Publicity of Cleared Corrupted Businesmen.
 
Jamani mnaona CCM ili*****za? Na Bunge kipindi hiki inabidi liwe makini sana. Taasisi kama Takukuru kwa sasa haina tofauti na tawi la CCM (mimi nakuwa muumini wa kwamba CCM wameagiza tu Takukuru itoe taarifa kuwa chenge hausiki na ufisadi ili CCM iweze kuendeleza ufisadi inavyotaka), ni pamoja na taasisi zingine nyingi ikiwepo NEC na ZEC. Hizi taasisi hazitakiwi kuwa affiliated na ccm. Hivi viongozi wake huwa wanapatikanaje?? Jibu la hili swali litatoa jibu la yanayoendelea kama haya ya chenge na zoezi la uchaguzi.

Ni dhahiri kuwa kuna ufisadi mkubwa bado unaendelea na utaendelea kama mambo ndo haya. Hivi na ishu ya mweshimiwa rais ya nyumba ikoje?? Na hotel ya serengeti ambayo ilijengwa wakati wanalazimisha kuwa zitajengwa tu hata kama watanzania hawataki (wanamazingira pia walipinga kama ilivyo sasa barabara ya kuelekea kwetu musoma).......kumbe walikuwa washapanga mambo yao......mara hoteli la kifahari (kufuru) hiloooo......siku hizi wikiend nyingi ni huko misafara na kadhalika! wadau fuatilieni tupate taarifa zaidi kuhusu hili pia. Ni kama pale ilipokuwa wanafanya ufisadi wa kutuletea hilo liscrapper (ndege) la rais eti bungeni wanasema hata kama watanzania hawataki litanunuliwa tu....bora watanzania wale******....lakini linunuliwe! Hivi Tanzania ni ya nani?? Inakera mbaya sana. Kwani ndo huwa tunawachagua ili watuchagulie? siyo kwamba tushirikiane katika mipango na maamuzi?

Kwa kweli viongozi wetu wanatuona mabwege ila wajue wanachokifanya hakistahili. Inatia uchungu na inaumiza. Tanzania kwa namna hii sijui tutafika wapi.

Tujiulize na tutafakari!
http://www.wavuti.com/4/post/2010/1...rom-uk-embassy-in-tanzania.html#ixzz14sp9Sat0
 
shame, shame, shame, shame, shame.... Shame, shame, kwa rais, pm, hosea, and all termites destroying our countries

tumefikia kutetewa na sfo... I feel like dying

asee! Sema wewe mjomba! Ni aibu namna gani mzee wangu!
 
Hosea anasubiri nini kujiuzulu? Au ana hakika kuwa Kikwete hawezi kumfukuza kazi? Au anataka awambie wanaotaka ajiuzulu kuwa asiye na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe...
Ngoma kweli inogile....
 
PCCB ni sabuni ya kusafisha mafisadi papa, nakumbuka RICHMOND. Masikini mpendwa Spika wetu mtarajiwa anapakwa mavi hivi hivi tunaangalia, ama kweli la kuvunda halina ubani. Aibu iliyoje kwa Dr. Hosea
 
nakataa kata kata kuwa hii info sii ya kweli kwasababu tu hakuna source. Hebu tupatie source ili na sisi doubting thomas tuamini.
 
Hosea ajiuzulu mpuuzi na mwizi wa haki za wananchi atakubali vipi kutumika kwa niaba ya mafisadi ovyoooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom