SFO report on the rada saga

kaburunye

JF-Expert Member
May 12, 2010
672
74
Wadau, this is for your information. Ripoti juu ya sakata la rada inayoonyesha jinsi Rashid na Chenge walivyohusika. Jamani, hivi ni kipi kinaendelea mbona iko wazi kabisa kuwa hawa jamaa wana kesi ya kujibu? Au ndo kama alivyosema IGP Mwema kuwa mafisadi ni vigumu kuwakamata vinginevyo nchi italipuka
 
Nafikiri hii inatuonyesha jinsi vyombo vyetu vya uchunguzi kama PCCB vilivyo makini kufuatilia mambo mbalimbali.

Kama wangelikuwa wamepewa shs elfu ishirini tayari wangelikuwa mahakamani.
 
Asante kwa kutukumbusha......lakini hii kitu ilishawekwa hapa JF kitambo na tuliijadili vya kutosha! Wafukunyuzi watakusaidia kutafuta link na kukuwekea hapa.
 
Asante sana kwetunikwetu. Unajua tena hapa jamvini kila siku kuna wageni wanaingia hivyo si vibaya kama issue iliyojadiliwa nyuma ikaletwa tena ili nao watoe mchango wao kama upo. Si unaona hata mjengoni kule dodoma mambo mengine yanayojadiliwa yaliwahi kuongelewa hata uko nyuma. Asante sana mkuu, heshima mbele
 
Asante kwa kutukumbusha......lakini hii kitu ilishawekwa hapa JF kitambo na tuliijadili vya kutosha! Wafukunyuzi watakusaidia kutafuta link na kukuwekea hapa.
Recalls that

Nafikiri hii inatuonyesha jinsi vyombo vyetu vya uchunguzi kama PCCB vilivyo makini kufuatilia mambo mbalimbali.

Kama wangelikuwa wamepewa shs elfu ishirini tayari wangelikuwa mahakamani.

well put
 
Back
Top Bottom