Natasha Ismail
JF-Expert Member
- Jul 14, 2008
- 747
- 640
mhh kazi kwelikweli.
Mwanakijiji,tatizo mnafikiri somebody care to know! Hivi kuna kitu gani tunaweza kukiandika na kukifafanua ili watu waone ubaya wake? nothing. absolutely nothing.
wengine wameenda mbali na kusema kwa kuwa mwendesha mashtaka ni wa kanda ya ziwa ndo maana jamaa hapelekwi kwa pilato.
Ndugu yangu, acha kutetea uchochezi wa kikabila katika nchi yako! Kama huyo mwendesha mashitaka hajafanya lililo wajibu kwake, basi achukuliwe ni madhaifu yake na hayana uhusiano wowote ule na kutokea kanda ya kusini ama ya magharibi au ya ziwa ya Tanzania. Kauli kama hivi hupotosha na kuweka vivuli kwa watu wazembe kuweza kujificha kwazo. Turudi kwenye thread, kama uchunguzi umekamilika kuhusiana na tuhuma hizi nzito, mimi nikiwa mtanzania nawakumbusha wenye jukumu la kuwafikisha watuhumiwa hao mahala panapositahiri wafanye hivyo ili haki itendeke. Wafikishwe mahakamani wote waliohusika kwenye sakata hili lililochafua taswira ya Tanzania kwenye anga za kimataifa! Namshauri pia Chenge asiende kugombea tena ubunge maana hafai, na akiwa mbishi ataumbuliwa sana kwenye kampeni zake kuhusiana na haya!
Hawa na wakina Pesambili Mramba, Yona, Mgonja, wote si wezi? Mbona huyo (Chenge) hapelekwi kwa pilato kama wao?Je hisia zilizojengeka miongoni mwa baadhi ya watu kwamba wakina Pesambili wanaonewa/wametolewa sadaka ni za kweli??? wengine wameenda mbali na kusema kwa kuwa mwendesha mashtaka ni wa kanda ya ziwa ndo maana jamaa hapelekwi kwa pilato.
Any way KIDUMU CHAMA CHA MAPUNDUZI
Hili nakubaliana nalo haswaa 100 kwa 100! Nadhani amewatishia wote kuwa atawaumbua! Na kwa kujua ana nguvu hiyo ndiyo kitu kilipelekea yeye kufanya vyote kama alivyotaka au amua mwenyewe. Hii inaonyesha wazi kama isingelikuwa SFO, hakuna ambaye angekuwa na ubavu wa kumtaja popote na kwa lolote!Mie nafikiri ni kwa sababu huyu bwana anashikilia makabrasha yote muhimu ya ufisadi.
wengine wameenda mbali na kusema kwa kuwa mwendesha mashtaka ni wa kanda ya ziwa ndo maana jamaa hapelekwi kwa pilato.
Ndugu yangu, acha kutetea uchochezi wa kikabila katika nchi yako! Kama huyo mwendesha mashitaka hajafanya lililo wajibu kwake, basi achukuliwe ni madhaifu yake na hayana uhusiano wowote ule na kutokea kanda ya kusini ama ya magharibi au ya ziwa ya Tanzania. Kauli kama hivi hupotosha na kuweka vivuli kwa watu wazembe kuweza kujificha kwazo. Turudi kwenye thread, kama uchunguzi umekamilika kuhusiana na tuhuma hizi nzito, mimi nikiwa mtanzania nawakumbusha wenye jukumu la kuwafikisha watuhumiwa hao mahala panapositahiri wafanye hivyo ili haki itendeke. Wafikishwe mahakamani wote waliohusika kwenye sakata hili lililochafua taswira ya Tanzania kwenye anga za kimataifa! Namshauri pia Chenge asiende kugombea tena ubunge maana hafai, na akiwa mbishi ataumbuliwa sana kwenye kampeni zake kuhusiana na haya!
Napinga ukabila, udini kwa nguvu zote, tena zote, nilichokizungumza hapo ni hisia ambazo zipo mtaani, watu wanaongea hivyo mtaanii, kwamba BPM na YONA wanaonewa kwa kuwa hawajatoka huko, kwani swala la Chenge liko wazi kwanini asishitakiwe na yeye? kama wataka kuyasikia hayo na mengine tembelea vijiwe vya kahawa jioni,ndo utajua wananchi wanhisia gani

Prodigal Son;787317!
Uko karibu na ukweli Chenge (Mzee wa Bajaji ) or the bajaj murderer ndie aliyemshauri Jakaya amteue Mwanyika the retired AG na mtu wake wa karibu kumridhi at the same time Edward Hosea comes from the same area na Chenge! DPP -Eliezer Feleshi yule kijana mwanasheria wa umri sawa na Ngeleja ni mpwa wake Edward Hosea. This triangle justifies why Andy Chenge is untouchable. Hao watu wamewekwa strategically to serve him. I have not dug the connection with the incumbent AG in the name of Hon: Werema labda kwa sababu Chenge kama mwanasheria wa siku nyingi in public office could still have a lost of respect from the learned fellows who at times only go for glory na kusahau wajibu wao kikatiba na kizalendo. The idea is that Chenge's power base is based on a lot of dosiers in his hands ya ufisadi wa watu wengi from Kikwete's connection to Deep green and IPTL wanaogopa in case he goes to the dock he might spit fire that could be one of the schools of thought!! tHEREFORE kubali tusikubali as Pinda and Mwema confessed hawa mafisadi are much much stronger than the 40 million Tanzanians nadhani the only dawa ni mob justice we come near them wavishwe tairi!!! This can make watawala walarushwa come to their senses vinginevyo imekula kwetu nawasilisha!!!!!! Jukumu la kuwavisha tairi tushirikiane hata ikibidi na ma-house boys/girls some of them are in high offices like Usalama wa taifa etc!!
Mzee mwanakijiji,tatizo mnafikiri somebody care to know! Hivi kuna kitu gani tunaweza kukiandika na kukifafanua ili watu waone ubaya wake? nothing. absolutely nothing.
J King,Kwa mtizamo wangu mimi naona kwamba ikiwa serikali itazipokea hizo pesa za marejesho kutoka BAE maana yake ni kukubali yale yaliyogunduliwa na SFO, na kama ndivyo Chenge na wenzake wana kesi ya kujibu itakayo pelekea kukutwa na hatia kwa sababu ushahidi uko wazi kabisa.
Lakini Tanzania mara nyingi huwa ni zaidi ya tuijuavyo lolote laweza kutokea, pengine yakawa yale yale ya mwacheni mzee apumzike!! Wezi wanaachwa wapumzike?
Mimi nafikiri wanaharakati waiwekee shinikizo serikali ya Tanzania kuchukua hatua dhidi ya wahusika, ikibidi kwa kumobilize maandamano ya wananchi.
Kama mafisadi waliweza kumobilize maandamano ya kuatia moyo Chenge na Lowasa kule Monduli na Bariadi, sioni kwa nini watu wenye nia njema na nchi hii wasi afford kuaandaa watz wema kwa maandamano ya kupinga double standard in application of law.
. We need somebody to make him talk baada ya hapo anyongwe plus hao washirika wake but not Jakaya Kikwete kwani wamemkamata pabaya na huo ufisadi ndio chanzo cha utajiri wake!!