Sexercise: Working out to increase your sexuality!

where else kuna matumbo katika mwili wa binadamu!!!??? kama mkeo baad aya kuzaa watoto usishangae na yeye akawa na kitambi, sasa cjui utaachana nae au utakuwa na wasio na matumbo kwa ajili ya sex tu na huyo mkeo akabaki kuwa ni mlezi wa watoto tu! wengi tulikuwa na viuno vya nyigu lakini baada ya waume kutujaza matumbo leo wanasema eti wenye matumbo wanajamba ovyo...oooh this world is not fair...
mnasingizia tu..ukiamua kinaondoka kitambi baada ujauzito
 
Heeeeh kijambo cha heri kwa mwenye mazoezi na huwezi sema unajamba all the time wakati wa game!

am sorry to say this rev... huyo aliekuwa anakujambia all through the game lazima alikuwa akipigwa bomba na nyuma pia thats why alikuwa hana brake za kudhiti hiyo hali, lakini cpati picture kitambi tu kweli ndio kilete dhahma yote hiyo.. nooo mchunguze vema huyo kitambi wako lazima anafumuliwa nyuma!
 
Mkuuu unadeni kubwa sana nimecheka kama mgonjwa hapa! Lol jamani nyie wengine sijui nikiwaona live itakuwaje....! Hii si mchungaji ni Literature zina sema hayo.
 
Mchungaji kama hukunipenda ungenambia tu....nini kunianika hadharani na tumbo langu!!
Aksante lakini ujumbe umefika.............

My dearest!

Wewe mbona huna shida, kitambi chako kiko presentable kile cha nyuma (kijungu) na nguo zile ulizokuwa umevaa za kinigeria kitambi cha mbele labda kama ningekuwa na Telescope ndo ningekiona
 
That if
though shalt confess with thy
mouth the Lord Jesus, and
shalt believe in thine heart that
God hath raised Him from the
......dead, thou shalt be saved.
For whosoever shall call upon
the name of the Lord shall be
saved.
Romans 10:9, 13.
 
mnasingizia tu..ukiamua kinaondoka kitambi baada ujauzito

yawezekana kuna ukweli lakini ni ngumu sana na kuna sababu nyingi zinazowafanya wanawake wengi kushindwa kufanya kazoezi hayo ya kutoa vitambi hasa baada ya kuzaa otherwise ingekuwa nirahsi naamini 90% ya wanawake wangedhibiti vitambi
 
Mkuuu ubadeni kubwa sana nimecheka kama mgonjwa hapa! Lol jamani nyie wengine sijui nikiwaona live itakuwaje....! Hii si mchungaji ni Literature zina sema hayo.

pole mkuu usicheke sana lakini huo ndo ukweli! ila nijuavyo kitambi kinazuia mambo mengi sana kukufanyika kwa ufasaha sio sex tu, huwezi kuwa sharp kwa mambo mengi, kuinama hata kufunga viatu au kutafuta kitu uvunguni ni issue, nguo hazipendezi, kwa ufupi unakuwa restless.. mmh kitambi kweli noma!
 
Naweza kukuuliza jinsia yako?
 
Back
Top Bottom